The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,842
Ukimtazama Seif Sharif Hamad..
Uje umtazame ..Lipumba..
Uje umtazame Rungwe..
Uje umtazame na Mbowe hivi juzi.
Anapokuja kutaka kugombea huku momentum yote ipo Kwa Tundu Lissu..
Nimejiuliza Sana why wanasiasa hawa wanataka kugombea huku wanajua kabisa hakuna watakachopata?
Walishagombea huko nyuma walipata nini?
Kuna hidden benefits za mtu kugombea Urais?
Kwanini Kugombea Urais kunakuwa kama
Madawa ya kulevya mtu akianza Tu hataki kuacha?..au hawezi kuacha?
Yaani hata kina Cheyo.na Mrema pia ilikuwa kila uchaguzi wapo tu hata kama kura ni mbili Tu ..na Dovutwa pia...
Kuna Siri gani wanaijua wakigombea Urais?..
International recognition?
Wanapita VIP airport? Au kuna nini hasa?