Kwanini Kshs. ina thamani kubwa kuliko Tshs?

Hapa tunaanzia mbali kidogo vitu gani? Vinafanya pesa yenu katika nchi yenu iwe na thamani ya juu.. je? Hivyo vitu tupo nao sawa na nchi ya KENYA
 
Si amekuambia ni take away 🤣🤣
Take away ya Kenya ina 350ml wakati ya Tanzania
Screenshot_20220209-175000.png
Ina 500ml
 
MAJIBU KWASIE TUZIOJUA UCHUMI

Kenya wanazalisha Sana kwa maana ya viwanda na nahitaji yao mengi ya kilasiku wanazalisha wenyewe sie Tanzania vitu vingi tuna agiza na Kama tukitengeneza Basi tunatengeneza quality ya chini ambayo hatwez kuuza nje.

Mfano
1. Sabuni za unga, na kipande za Tanzania fananisha na Kenya.

2. Mafuta ya kupikia na kujipaka.

Niliona kipindi Tanzania ameanza kuuza CHAKULA Kenya kwa fujo nikaona thamani ya Tsh ikipanda huku Ksh ikishuka nikanote kuwa export ya Bidhaa ndio inayokuza UCHUMI wa taifa husika.
 
Hua si angalii thamani ya pesa ila naangalia purchasing power ya pesa husika kwa kuiiweke katika equivalent ya US Dollar. Then chukua hiyo equivalent ya US dollar nenda kafanye nayo manunuzi katika nchi husika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom