Kwanini korodani za wanaume huwa hazitakati?

Huo ni ugonjwa km sio uchafu, nenda kamuone doctor wa magonjwa ya ngozi usisingizie kuwa hazitakati!
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
ni wewe tu hujui kuoga, wewe ni mchafu
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
wewe ni mchafu by nature.
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Unamaanisha za kwako hazitakati au za wanaume wote? Kama ni za wanaume wote hapo sidhani kama upo sahihi. Ulijuaje kuwa za wanaume wote hazitakati????
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Pole sana mkuu, hapa naona tu unadhihirisha jinsi gani mume wako alivyo mchafu aiseeeee.....
Pttuuuuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom