Kwanini kodi ya gari ni kubwa kuliko bei ya gari husika kwa hapa kwetu Tanzania?

i9clsfy

New Member
Apr 3, 2021
4
3
Habari wakuu,

Leo niko na swali moja, muhimu na sijawahi lipatia ufumbuzi.

Kwanini unaweza nunua gari nje kwa bei nafuu lakini, likifika Tnzania makato yanakuwa maradufu hadi unaanza likatia tamaa gari lako, hasa (TRA, Motor vihicle Tax)
 
Sababu zinaeleweka, kuna charges zipo kwetu na kwa wenzetu hazijumlishwi kwny kodi moja kwa moja yani zinakua separate. Mf,,,Veh Registration fee ambayo huku ni laki tano for most cars (sijajua kama ni fixed at 500k au la). Kwaio hakuna chakulalamikia, lipa kodi tulijenge taifa.
 
Kwa mwafrika hitaji la mtu kuwa na gari ni "anasa" yaani kama mvinyo na sigara. Tuenzi urithi wetu wa kuchapa mguu, azimio la Musoma.
 
Gari unanunua 6M kodi inakuja 11M hivyo thamani ya gari inakua 17M ni dhahiri hawataki tununue magari ila hakuna namna gari mhimu sana.
 
Sababu zinaeleweka, kuna charges zipo kwetu na kwa wenzetu hazijumlishwi kwny kodi moja kwa moja yani zinakua separate. Mf,,,Veh Registration fee ambayo huku ni laki tano for most cars (sijajua kama ni fixed at 500k au la). Kwaio hakuna chakulalamikia, lipa kodi tulijenge taifa.
Mmmh kwahiyo hapo ndio umemueleza sababu teh.
 
Basi jifanye wewe mZambia nunua gari halafu kalitumie huko ambako bei rahisi
 
Mmmh kwahiyo hapo ndio umemueleza sababu teh.
Kodi zina breakdown, kuna kodi ya maendeleo ya reli, kuna malipo ya usajili wa gari, kuna malipo ya customs and the list goes on. Ila the main reason i think ni kua, kodi kubwa ndo njia pekee yakuregulate importation ya magari used kuingia nchini.
 
Kodi zina breakdown, kuna kodi ya maendeleo ya reli, kuna malipo ya usajili wa gari,kuna malipo ya customs and the list goes on. Ila the main reason i think ni kua , kodi kubwa ndo njia pekee yakuregulate importation ya magari used kuingia nchini.
Hapo nimekupa sana aseee.
 
Back
Top Bottom