Kwanini Kodi Kubwa kwa Wafanyakazi.....Kwanini Kodi kidogo kwa Wafanyiashara?

TRA ni wavivu wa kufikiri, sio wabunifu.

Wafanyakazi wengi pale TRA sio think tanks, wanapata kazi kwa Michongo ya Undugunization

Wafanyabiashara wakata 10% na Serikali inapoteza kodi nyingi

TRA wana jiwekea Bonus kubwa mwisho wa mwaka kwa kuweka viwango vya kuvuka lengo feki

Wamechoka kimawazo, wamelewa Pesa, hawako kimaslahi ya wananchi
 
Laws / regulations are always made by the business people through what we call lobbiest
 
Umenena.....kuna jamaa. namfahamu analipa zaidi ya 28milion PAYE kwa mwaka.......ananung'unika kila siku. ..
 
Back
Top Bottom