Kwanini kocha wa England , Roy Hugson kamuacha Danny Drinkwater Euro ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,735
239,356
Bado sijaelewa vigezo vilivyotumika , kama kuna anayejua zaidi anifahamishe .

Au ni majeruhi ? Maana kama ni kuhusiana na kiwango basi bila shaka huyu kocha atakuwa anaumwa uzee .

Drinkwater-645092.jpg


Danny-Drinkwater.jpg
 
Mkuu Drinkwater yuko fit.. Kocha kamucha Drinkwater na kuwachukua Henderson na Wilshere ambao viwango vyao vilikua tia maji tia maji msimu huu.. Kifupi uzee unamsumbua.
Ni kweli nimeamini uzee ni ugonjwa mbaya sana , nina hakika huyu kocha angekuwa Tanzania angeishi kwenye ile kambi ya wazee ya mikese - morogoro .
 
Huyu kocha kachanganyikiwa kabisa,yaani anachukua kilema kama wilshere ambaye hajacontribute hata 50% katika klabu yake while drinkwater kapiga sana kazi mpaka timu imebeba ndoo


Watapigwa sana hao yetu macho viungo hamna kabisa.
 
Mfumo wa timu yetu ya England ni 4~4~2 Dimond mfumo huu unategemea sana ubora wa Jordan Henderson Erick dier na Jack wilshere Danny hawezi kabisa kufanya kazi mfumo huu wa Diamond ndio maana ameachwa all in all he is a good player
 
Sababu nyingine nadhani lengo lake ni kulipa fadhila kwa wachezaji walioshiriki toka mwanzo kuiwezesha timu kufuvu...
 
Sababu anazijua yeye alomwacha, kama hajatoka hadarani kusema ni kwa nini basi mtabishiri hadi Euro 2020 ifike.
 
Sababu nyingine nadhani lengo lake ni kulipa fadhila kwa wachechazi walioshiriki toka mwanzo kuiwezesha timu kufuvu...

Kama hii ndo sababu kwanini kamuacha Townsend ambae alicontribute sana sana kwenye matches za awali?? Huyu coach hafai tu na England kila siku inashindwa shauri ya uteuzi mbaya.. Kuna wachezaji wazuri sana hata kwenye championship lakini hawaangaliwi ni sawa na bongo tu kuchagua kila siku simba na yanga.
 
Wengi Hapa Naona Wanalalamika Tu Lakn Nimemwona Mmoja Tu Kaja Na Sababu Ya Kitaaalam, So Nategemea Wengine Waje Na Hizo Sababu Kama Mleta Uzi Anavyohitaji.

Mimi Naamina Drinkwota Anaweza Lakn Pia Nahitaji Sababu Za Msingi Hapa Na Pale Badala Ya Kulalamika Tu.

Wataalam Wa Soka Jitokezeni Jaman Tujifunze Kutoka Kwenu.

NB: KILA KOCHA NA CHAGUOLAKE.
 
Wengi Hapa Naona Wanalalamika Tu Lakn Nimemwona Mmoja Tu Kaja Na Sababu Ya Kitaaalam, So Nategemea Wengine Waje Na Hizo Sababu Kama Mleta Uzi Anavyohitaji.

Mimi Naamina Drinkwota Anaweza Lakn Pia Nahitaji Sababu Za Msingi Hapa Na Pale Badala Ya Kulalamika Tu.

Wataalam Wa Soka Jitokezeni Jaman Tujifunze Kutoka Kwenu.

NB: KILA KOCHA NA CHAGUOLAKE.
Upo sahihi mdau.... Drinkwater alibebwa na mfumo wa club na kwakua kocha kaliona hilo ndio maana amempotezea.
Pia kazingatia chemistry ya timu yake viungo vingi huaribu pilau.
 
Kama hii ndo sababu kwanini kamuacha Townsend ambae alicontribute sana sana kwenye matches za awali?? Huyu coach hafai tu na England kila siku inashindwa shauri ya uteuzi mbaya.. Kuna wachezaji wazuri sana hata kwenye championship lakini hawaangaliwi ni sawa na bongo tu kuchagua kila siku simba na yanga.

Uko sahihi kihoja.

Hata hivyo,ninaamini hata yeye kocha hajafurahia kuwaacha hao wachezaji. Bila shaka alikuwa na wakati mgumu kufanya maamuzi hayo.
 
tatizo letu sie watanzania tunajifanya tunajua kila kitu....unajua katika timu kuna kitu kinaitwa MFUMO...

huu mfumo ndio unaommfanya mchezaji awike au aboronge

mchezaji anaweza kuwa ni mzuri lakini mfumo ukamkataa

mfano mzuri

man u hivi clevery alikuwa ni wa kumpiga kagawa bench?

tatizo ni mfumo

mifano mingi unakuta forward anawika sehemu lakini akija timu fulani anakuwa zoba

falcao, torres, shevishenko na wengine wengi tumeona

sasa mfumo wa leiceter city kocha ameona maybe umemfavor drink water... na makocha ambao ni wametukuka kama ROY ambao wanajua ni nini wanafanya ni kuwa WANAMLINDA MCHEZAJI

maybe ameona mbali kuwa mfumo wa england unaweza kumfanya drinkwater awe butu euro na ili kumbakisha na thamani yake kwa ajili ya msimu ujao wa usajili ameamua bora amwache tu abaki na thamani ile ile kuliko amchezeshe halafu aboronge sio kwa ubutu wake bali ni kwa sababu ya mfumo wa timu halafu thamani yake ishuke


roy anajua anachokifanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom