Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Wakuu, japo tunapenda kuwa kama Ulaya lakini hili la timu ya Yanga kuweka kambi nchini Uturuki haliingii akilini. Klabu yenyewe haina uwanja wa mazoezi lakini inatumia pesa nyingi kwenda huko hata kwa mechi inayochezwa hapa hapa! Ama pana zaidi ya mazoezi?