Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Au aiangalie vizuri logo yake inafanana na nini hasa kule mwisho

images
Hahahahahahaha
 
Jaza Ujazwe
Mie nataka nikatae hiyo poromosheni yao maana inaudhi
 
Na lile tangazo la mwantumuuuuuuu...... utata mtupu. Linafundisha ukiwa na lofa anakulisha chakula cha aina moja tafuta mwingine mkaufinyeeee
Ni kweli aisee hawa jamaa matangazo yao hivi wanayafanyia resarch kweli jamani yana ukakasi masikioni.
 
Wajuzi naomba kueleweshwa ni muda mrefu kidogo nasikia watu wakisema maneno kama kaliwa tigo, anagawa tigo nakadhalika nakadhalika wakimaanisha kitendo cha mapenzi ya kinyume na maumbile na kinyume na radhi ya Mwenyezi Mungu.

Ninachouliza imekuwaje mtandao huo ukafananishwa na the mk...u vinafanana vipi na kwa nini isiwe mitandao mingine. Ilianzaanzaje wakawekewa dhana ya kinyume.

Sasa na hii ya jaza ujazwe ndo sielewi kabisaa hii kaulimbiu ni kwa jinsia zote watajazwa. Jamani ushamba mzigo nisaidieni uelewa.
Kuna kipindi fulan tigo walikuja na tangazo lao wakionyesha mtu anafunga kidole gumba na cha shahada mfano wa sufuri...hapo ndipo dhana hii ilipoanza mpk leo kufunganisha vidole hiv kumebeba ujumbe huo.
 
Mungu hapendi ni uchafu kumbuka Sodoma na Gomola ziliangamia kwa tabia hiyo chafu leo mwawafanyie hata wake zenu jamani tumuogope Mwenezi Mungu kuna siku ya kuwa pekee kwenye giza nene.
Ubarikiwe sana shetani antafuta mawindo yake
 
Back
Top Bottom