johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,840
- 141,765
Zitto akiwa CHADEMA alisema nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni ina hadhi yake hivyo inahitaji mtu mwenye utambuzi wa matukio, nyakati na fursa.
Hivi sasa nimeelewa kile Zitto alichomaanisha, ukimuangalia Mbowe ana act kama mwenyekiti wa UKAWA na siyo KUB, anasahau kuwa KUB ni msemaji mkuu wa vyama vyote vya upinzani bila kujali uwepo wao bungeni hivyo popote pale anapohudhuria Waziri Mkuu na Spika, KUB anapaswa kuwepo pia.
Kitendo cha Mbowe " kuwakilishwa" na Shibuda siyo kibaya lakini ni vema mara nyingine awe anahudhuria.
Naomba niishie hapo!