Kwanini Kinyesi cha wanyama hutumika kama Mbolea wakati binadamu ndio anayekula vizuri zaidi?

Sisi ndo hatutumii lakina katika mbolea bora na yenye nutrients zote ni ya binadamu sema uandaji wake na mazoea ndo changamoto kuna sehemu hapa tz kuna Mkulima ananyonya majitaka kwenye matenka anapeleka kwenye Shamba lake la kahawa kupitia drip irrigation anavuna balaa first grade kahawa ana export nje anauza bei ghali sana ktk soko la dunia
Hapa nilipo mboga zimestawi kweli bahati nzuri hawauzi wanakula wenyewe, wanafungua kifuniko cha majitaka wananyunyizia
 
Hakitumiki? Nenda Dodoma eneo la Swaswa uone wajasiriamali wanavyokitumia kustawisha mbogamboga, ila siku zote najiuliza idara ya afya inawahakikishiiaje usalama watu dodoma kwa kula hizo mboga
CDA na DUWASA wameadhibiwa kwa kuwaacha wetu kutumia maji hayo kwa matumizi ya umwagiliaji wa mbogamboga zinazouzwa kwa wingi katika masoko mbalimbali ya Manispaa ya Dodoma.
 
Miaka ya nyuma gereza la Morogoro walikuwa wanastawisha mchicha mnono kwa kutumia kinyesi cha wafungwa. Tena ilikuwa karibu na barabara kuuu iendayo town centre.
 
Ukisoma kuhusu mnyororo wa chakula, utagundua kuwa mimea (primary producer) in high energy level/ calorific value kuliko wanyama kama mbuzi, ng'ombe nk (ambao wao ni primary consumer) pia wanyama kama hao swala, mbuzi, ng'ombe nk ambao wanakula majani yenye kiwango cha juu cha calorie wana high energy level kuliko binadamu, simba and the like ambao ni secondary consumer na pia binadam wana high calorific value (energy level) kuliko wanyama kama fisi and the like.

Kwa hiyo technically ukitumia mbolea ya majani (mboji) ni nzuri zaidi kuliko mbolea ya ng'ombe na mbuzi, pia ukitumia mbolea ya ng'ombe na mbuzi ni nzuri zaidi kuliko kutumia kinyesi cha binadamu and so on...

View attachment 440678
Umejibu kitaalamu sana, bravo
 
Back
Top Bottom