Kwanini Kinana na Nape wanaweweseka na UKAWA badala ya kukemea wizi na ufisadi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,847
2,000
NIMESIKITISHWA SANA na katibu mkuu wa CCM PAMOJA NA mwenezi wake NAPE NNAUYE kwa kutumia muda mwingi kuishambulia UKAWA badala ya kuwaeleza wananchi ni jinsi gan wizi na ufisadi uliokithiri ndani ya serikali namna unavyoshuhulikiwa.

Mfano kuna sakata walioliibua ukawa la bilioni 200, waziri mhongo kuhonga baadhi ya wabunge ili wasiibane wizara yake, misamaha ya kodi mikubwa ambayo hata kangi lugola amesema ataleta hoja binafsi ya kumtoa spika makinda.

Shida kubwa ya maji, vitanda hapa hospitalini, ubovu wa shule za kata mpaka vyuo vikuu ambpo mh susan lymo alisema holi 5 na 6 chuo kikuu ni hatarishi lakini hamna anaejali, miundo mbinu mibovu,ajira kwa vijana imekua ni hadisi isioisha.

kwa miaka hamsini wameshindwa kudeliver sasa badala kuelezea kwann wasitolewe madarakani kwa kushindwa kazi waliopewa na wananchi kama alivyosema jana mh lema CCM hawana viongozi ambao ni positive thinker, creative na wameshindwa kuprovide leadership na tumeendelea kuwa maskini na tutaendelea licha ya kuwa na dhahabu ,mito maliasiri,gesi,madini , milima ya kitalii nk.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Acha kuongea maneno mbofumbofu mkuu lini umesikia kinana akifanya ziara za kupambana na ukawa badala yake kinana anafanya mikutano ya kuimarisha chama.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
20,411
2,000
Kinachofurahisha ni kwamba UKAWA hawatoki kwenye mada, wao wanatoa elimu ya uraia kuhusu kilichomo ndani ya Rasmu ya Tume ya Mabadiliko na upotoshwaji unaofanywa na watawala.

Sasa kina Nape na Bosi wao, wameacha kazi iliyowapeleka kule ya kukagua utekelezaji wa ilani yao ya uchaguzi matokeo yake nao wamejikuta wakianza kutetea muundo wa serikali mbili kitu ambacho si lengo lililowapeleka huko.
 
Mhabarishaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2010
1,005
2,000
Acha kuongea maneno mbofumbofu mkuu lini umesikia kinana akifanya ziara za kupambana na ukawa badala yake kinana anafanya mikutano ya kuimarisha chama.

Chama Cha Mapinduzi kinaimarishwa????? Mbona hamtuambii ni lini kilidhoofika, na kwa nini??????
 
Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
NIMESIKITISHWA SANA na katibu mkuu wa CCM PAMOJA NA mwenezi wake NAPE NNAUYE kwa kutumia muda mwingi kuishambulia UKAWA badala ya kuwaeleza wananchi ni jinsi gan wizi na ufisadi uliokithiri ndani ya serikali namna unavyoshuhulikiwa.

Mfano kuna sakata walioliibua ukawa la bilioni 200, waziri mhongo kuhonga baadhi ya wabunge ili wasiibane wizara yake, misamaha ya kodi mikubwa ambayo hata kangi lugola amesema ataleta hoja binafsi ya kumtoa spika makinda.

Shida kubwa ya maji, vitanda hapa hospitalini, ubovu wa shule za kata mpaka vyuo vikuu ambpo mh susan lymo alisema holi 5 na 6 chuo kikuu ni hatarishi lakini hamna anaejali, miundo mbinu mibovu,ajira kwa vijana imekua ni hadisi isioisha.

kwa miaka hamsini wameshindwa kudeliver sasa badala kuelezea kwann wasitolewe madarakani kwa kushindwa kazi waliopewa na wananchi kama alivyosema jana mh lema CCM hawana viongozi ambao ni positive thinker, creative na wameshindwa kuprovide leadership na tumeendelea kuwa maskini na tutaendelea licha ya kuwa na dhahabu ,mito maliasiri,gesi,madini , milima ya kitalii nk.
Hu ujumbe aupate Lizaboni, ritz,faizafox,simiyu yetu, ifweero
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom