Kwanini Kinana na Nape wanakwepa kufika mkoa wa Kilimanjaro?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Katika mikoa ambayo viwanda vimekufa kama si kuhujumiwa na serikali ya ccm basi ni mkoa wa kilimanjaro,mkoa huu ulikuwa niwa 4 kwa kuwa na viwanda vingi hapa tanzania lakini tangu upinzani ulipoingia mkowani hapa viwanda vilianza kufa kimoja baada ya kingine.

baadhi ya viwanda hivyo ni.

  • kiwanda cha magunia
  • kiwanda cha ngozi tanarizi
  • kiwanda cha kahawa coffee kyurin
  • kiwanda cha kutengeneza zana za kilimo machine tools
  • kiwanda cha kitengeneza furniture,imara furniture.
  • kiwanda cha madawa ya kilimo.
  • kiwanda cha bia
  • kiwanda cha mbao

hivi ni baadhi tu ya viwanda ambavyo miaka nenda rudi vimefanya magofu

kwa sasa mkoa huu hauna kiwanda hata kimoja ambacho kinasimamiwa serikali vyote ni mbagofu
kiwanda kinacho fanya kazi ni chamtu binafsi dr.mengi kinacho zalisha soda cha bonite.na kiwanda cha bia ya serengeti ambacho sina uhakika kama ujenzi wake ulikamilia au la.

Cha kushangaza kinana na nape hawajawahi kwenda kuwaeleza wananchi wa mkowa huu ni kwanini viwanda hivi vilikufa na sababu zipi zinapelekea visifunguliwe tena.

Badala yake wanakwepa kufika na kijizungusha na kuishia mikowa ya jirani tu.kama kweli wanania ya kutatua tatizo hili basi wanahitajika kufuka kilimanjaro japo najua ni vigumu kwao kwani ahadi zilizotolewa na dr,kikwete katika mkoa huu hakuna hata moja iliyo tekelezwa.

nape,kinana na jopolenu la kutalii nchini tunawakaribisha mkowa wa wagumu kilimanjaro
 
hawaezi kuja Chami mwenyewe kapigwa chini nani atawapokea na mwenyeji wao ana hasira nao
 
hayo nimawazo yako lakini nadhani ndio wameanza kutembea mikoani na pia huko watafika tu
 
katika list waliyoitoa sijaona hu mkoa walitaja mikoa minne tu.labda kama unayo nyingine twekee hapa
 
Mbona kiwanda cha ngozi (tanney) kinafanya kazi vizuri tu. Exports za ngozi zinazosindikwa ni zaidi ya dola milioni mbili kwa mwaka. Hivi sasa wameongeza capacity by 40% baada ya kusimika mitambo mipya.
Kiwanda pia kinasindika ngozi hadi hatua ya umalizaji (finished leather) na wanatengeneza bidhaa za ngozi km. glovu na sasa wameanza kutengenza viatu.
 
si kweli ndugu ngozi hiyo inatoka kiwanda cha mwika nacho nichamtu binafsi kiwanda cha tanarizi kiko chini ya mhindi na hakizalishi chochote.kuna mchezo unachezwa ili kionekane kinafanya kazi.
 
du hata wakija hawana msaada wowote kama kila siku wapo dar lakini sukita na viwanda vya dar vimeshakufaaaaaaaaaaa
 
Katika uzi wako umesema ati viwanda vilikufa tangu upinzani ulipoingia mkoani hapo! Clarify! Nadhani vilikufa kabla ya hapo au????
 
Katika mikoa ambayo viwanda vimekufa kama si kuhujumiwa na serikali ya ccm basi ni mkoa wa kilimanjaro,mkoa huu ulikuwa niwa 4 kwa kuwa na viwanda vingi hapa tanzania lakini tangu upinzani ulipoingia mkowani hapa viwanda vilianza kufa kimoja baada ya kingine.

baadhi ya viwanda hivyo ni.

  • kiwanda cha magunia
  • kiwanda cha ngozi tanarizi
  • kiwanda cha kahawa coffee kyurin
  • kiwanda cha kutengeneza zana za kilimo machine tools
  • kiwanda cha kitengeneza furniture,imara furniture.
  • kiwanda cha madawa ya kilimo.
  • kiwanda cha bia
  • kiwanda cha mbao

hivi ni baadhi tu ya viwanda ambavyo miaka nenda rudi vimefanya magofu

kwa sasa mkoa huu hauna kiwanda hata kimoja ambacho kinasimamiwa serikali vyote ni mbagofu
kiwanda kinacho fanya kazi ni chamtu binafsi dr.mengi kinacho zalisha soda cha bonite.na kiwanda cha bia ya serengeti ambacho sina uhakika kama ujenzi wake ulikamilia au la.

Cha kushangaza kinana na nape hawajawahi kwenda kuwaeleza wananchi wa mkowa huu ni kwanini viwanda hivi vilikufa na sababu zipi zinapelekea visifunguliwe tena.

Badala yake wanakwepa kufika na kijizungusha na kuishia mikowa ya jirani tu.kama kweli wanania ya kutatua tatizo hili basi wanahitajika kufuka kilimanjaro japo najua ni vigumu kwao kwani ahadi zilizotolewa na dr,kikwete katika mkoa huu hakuna hata moja iliyo tekelezwa.

nape,kinana na jopolenu la kutalii nchini tunawakaribisha mkowa wa wagumu kilimanjaro
Waje kufanya nini wakati walioiua CCM walikuwa wakifanya kazi katika viwanda hivyo?
Na sasa wengi wao ni wanachama wa CDM!
 
Mnakumbuka mlisema Nape hata kanyaga Arusha katu, akaenda ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Katika mikoa ambayo viwanda vimekufa kama si kuhujumiwa na serikali ya ccm basi ni mkoa wa kilimanjaro,mkoa huu ulikuwa niwa 4 kwa kuwa na viwanda vingi hapa tanzania lakini tangu upinzani ulipoingia mkowani hapa viwanda vilianza kufa kimoja baada ya kingine.

baadhi ya viwanda hivyo ni.

  • kiwanda cha magunia
  • kiwanda cha ngozi tanarizi
  • kiwanda cha kahawa coffee kyurin
  • kiwanda cha kutengeneza zana za kilimo machine tools
  • kiwanda cha kitengeneza furniture,imara furniture.
  • kiwanda cha madawa ya kilimo.
  • kiwanda cha bia
  • kiwanda cha mbao

hivi ni baadhi tu ya viwanda ambavyo miaka nenda rudi vimefanya magofu

kwa sasa mkoa huu hauna kiwanda hata kimoja ambacho kinasimamiwa serikali vyote ni mbagofu
kiwanda kinacho fanya kazi ni chamtu binafsi dr.mengi kinacho zalisha soda cha bonite.na kiwanda cha bia ya serengeti ambacho sina uhakika kama ujenzi wake ulikamilia au la.

Cha kushangaza kinana na nape hawajawahi kwenda kuwaeleza wananchi wa mkowa huu ni kwanini viwanda hivi vilikufa na sababu zipi zinapelekea visifunguliwe tena.

Badala yake wanakwepa kufika na kijizungusha na kuishia mikowa ya jirani tu.kama kweli wanania ya kutatua tatizo hili basi wanahitajika kufuka kilimanjaro japo najua ni vigumu kwao kwani ahadi zilizotolewa na dr,kikwete katika mkoa huu hakuna hata moja iliyo tekelezwa.

nape,kinana na jopolenu la kutalii nchini tunawakaribisha mkowa wa wagumu kilimanjaro
 
Wanataka Kilimanjaro iendelee kuonekana ni ngome ya Chadema ili waendelee kuwadanganya mikoa mingine vizuri
 
Endelea kutetea magamba , Kwani yamewang'ang'ania, yakiwavuka nanyi kwisha habari yenu. Upo sahihi kutetea ingawa hujui unachikitetea kama ni sahihi au la.:confused2:
 
CCM tangu uhuru hawakuwahi wapenda wachaga kwa fikra zao na tabia zao.Its like magic wachaga hawafugiki ,na wameuacha mkoa na kutawanyika hakuna anayewezawa encircle na kuwafinyanga.Suvival power yao ni kubwa sana hadi kutishia wanawatazama bila fikra.Wachaga wameweza adapt mazingir amengi sana kugeuza kila kitu on their benefit.

Kwanza watu hawawajui hao jamaa.Watu kule waliobaki sehemu nyingi za moshi ni wazee na watoto wanaofikiria toka nje kama watoto wa simba kwenda pat aexperience ya kuwinda.Watahitaji bonge ya promo ili wajulikane km ile pombe ya banana wine au kibuku,inavyohitaji bomba ya promo, ingawa zipo sokoni kwa miaka mingi kuliko serengeti langer.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom