PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Katika mikoa ambayo viwanda vimekufa kama si kuhujumiwa na serikali ya ccm basi ni mkoa wa kilimanjaro,mkoa huu ulikuwa niwa 4 kwa kuwa na viwanda vingi hapa tanzania lakini tangu upinzani ulipoingia mkowani hapa viwanda vilianza kufa kimoja baada ya kingine.
baadhi ya viwanda hivyo ni.
hivi ni baadhi tu ya viwanda ambavyo miaka nenda rudi vimefanya magofu
kwa sasa mkoa huu hauna kiwanda hata kimoja ambacho kinasimamiwa serikali vyote ni mbagofu
kiwanda kinacho fanya kazi ni chamtu binafsi dr.mengi kinacho zalisha soda cha bonite.na kiwanda cha bia ya serengeti ambacho sina uhakika kama ujenzi wake ulikamilia au la.
Cha kushangaza kinana na nape hawajawahi kwenda kuwaeleza wananchi wa mkowa huu ni kwanini viwanda hivi vilikufa na sababu zipi zinapelekea visifunguliwe tena.
Badala yake wanakwepa kufika na kijizungusha na kuishia mikowa ya jirani tu.kama kweli wanania ya kutatua tatizo hili basi wanahitajika kufuka kilimanjaro japo najua ni vigumu kwao kwani ahadi zilizotolewa na dr,kikwete katika mkoa huu hakuna hata moja iliyo tekelezwa.
nape,kinana na jopolenu la kutalii nchini tunawakaribisha mkowa wa wagumu kilimanjaro
baadhi ya viwanda hivyo ni.
- kiwanda cha magunia
- kiwanda cha ngozi tanarizi
- kiwanda cha kahawa coffee kyurin
- kiwanda cha kutengeneza zana za kilimo machine tools
- kiwanda cha kitengeneza furniture,imara furniture.
- kiwanda cha madawa ya kilimo.
- kiwanda cha bia
- kiwanda cha mbao