Kwanini Kinana na Nape hawakuwaogopa kabisa wapinzani kama ilivyo kwa warithi wao ?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,845
Upinzani ni kama umeshajifia ila cha ajabu bado unaogopwa kiaina, sijajua kwanini hali hii inatokea.

Kama Kinana, Mwigulu na Nape waliweza kuwamudu UKAWA iliyoundwa na akina Dr Slaa, Prof Lipumba, Jussa na maalim Seif inakuwaje leo wapinzani wapewe sababu za kujiona wanaogopwa?

Serikali inafanya kazi zake vizuri sana lakini ndani ya chama tawala kuna kigugumizi kisichoeleweka.

Ripoti ya mafisadi wa mali za chama imewekwa kabatini halafu tunawanyooshea vidole TRA kwamba ni wala rushwa.

Upinzani tutaujenga upya sisi wenyewe kwa kutofanya majukumu yetu katika hali ya uwazi na ukweli.
Ila kiukweli upinzani ulishajifia na hasa baada ya Lowassa na wabunge zaidi ya 10 kujisalimisha kwa Rais Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ukitaka kuiona nguvu iliyopo upinzani,ondoeni virungu,pingu,gesi ya machozi halafu kuwe na uwanja wenye refa asiye jamaa.
Jaribuni hilo halafu tuone kama kweli munafanya kazi zinazopendwa au muna pumzi.
 
Hahaha wanao ujua uhondo wa ngoma ni wale wanao icheza mzee.
Hahaha nacheka kwa mara nyingine ili niongeze siku zakuishi.
 
Upinzani ni kama umeshajifia ila cha ajabu bado unaogopwa kiaina, sijajua kwanini hali hii inatokea.

Kama Kinana, Mwigulu na Nape waliweza kuwamudu UKAWA iliyoundwa na akina Dr Slaa, Prof Lipumba, Jussa na maalim Seif inakuwaje leo wapinzani wapewe sababu za kujiona wanaogopwa?

Serikali inafanya kazi zake vizuri sana lakini ndani ya chama tawala kuna kigugumizi kisichoeleweka.

Ripoti ya mafisadi wa mali za chama imewekwa kabatini halafu tunawanyooshea vidole TRA kwamba ni wala rushwa.

Upinzani tutaujenga upya sisi wenyewe kwa kutofanya majukumu yetu katika hali ya uwazi na ukweli.
Ila kiukweli upinzani ulishajifia na hasa baada ya Lowassa na wabunge zaidi ya 10 kujisalimisha kwa Rais Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo hayana Vyama ndio sababu..!!!!
 
Back
Top Bottom