social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,259
Mapema leo siku ya ijumaa ndugu zetu wa upande wapili upenda kuita Ijumaa kukuu nikiwa nimejipumzisha mahali kutokana na uchovu wa pilika pilika za hapa na pale lakini pia na uwepo wa jua kali,zikapita gari zaidi ya 5 zikiashiria ndoa inaenda kufungwa mahali tukio ili limechukua attention ya watu wengi ikiwemo kinadada wakitizama kwa sura ya kejeri na kusonya.Nimetizama karibu maeneo manne tofauti waliposimama kinadada hali ipo hivyo hivyo.
Najua hapa JF kuna great thinker kibao wenye experience na knowladge za kutosha ningependa kujuzwa kuna mahusiano gani kati ya kinadada kusonya na shamra shamra hizi za ndoa
Ahsante.
Najua hapa JF kuna great thinker kibao wenye experience na knowladge za kutosha ningependa kujuzwa kuna mahusiano gani kati ya kinadada kusonya na shamra shamra hizi za ndoa
Ahsante.