Kwanini kila pakiboreshwa wateja wanakimbia?

Impimpi

JF-Expert Member
Jan 7, 2019
464
947
Wakuu habari.

Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.

Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.

Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena Maandazi yanavunda kabatini, chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi wateja wako watakua wanapenda sehemu chafu na hatari......rais wetu kipenzi mwenyewe kasema yeye ni masikini....kidding

Mkuu fanya kitu kimoja boresha menu yako kwanza na ubunifu kama kutoa hata vitunda bure, na pia fanya promo kidogo hata ya mtaani hapo mpaka wateja watarudi. Biashara ni fitna huwezijua wakati unafanya matengenezo kuna mwenzio alitumia gap hilo kukumaliza kwa wateja labda unapunja chakula, na unarekebisha hili upandishe bei na vitu kama hivo.....sasa wewe ongeza kipimo cha menu hata kwa hii week then utakua unapungufa taratibu mpaka kwenye size ya awali....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah huenda mazingira uliyopo yanaogopesha, wanadhani ni sehemu ya watu high level, so wanajua hata bei imebadilika.

Weka menyu na bei nje mkuu.
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana umasikini tumeuzoea, ila ni vyema ungewauliza wateja kwanza kabla haujaboresha wangekuambia wanahitaji nini? pili inawezekana hayo maandazi yaliyovunda kabatini ndio yanawakimbiza, tatu jenga tabia ya kutoa ofa ya chakula kwa walevi ili wakutukane kwa kukuambia mapungufu yako na uyafanyie kazi
 
Four Ps san change the dimenamic of the market
1. Price
2. Product
3. Place
4. Packaging

Kama kila kimoja kipo kama kinavyotakiwa lazima wateja waje... UKIBADILI KIMOJA TU KIKAWA NDIVYO SIVYO, HUWEZA KIMBIZA WATEJA

BY THE WAY, TATIZO LA WENGI KUWA ANAPOBADILISHA ENEO AU CHOCHOTE KWENYE HIZO P NNE NILIZOZITAJA, anaweka kwa namna anavyopenda yeye...
1. Haulizi mitazamo ya wateja
2. Haangalii huko wanakokimbilia wanafuata nini
3. hajiulizi CUSTOMER CARE ya eneo lake ipoje....

HATA DJ KWENYE DISCO AKIPIGA NYIMBO ANAZOZIPENDA YEYE, HACHELEWI KUONA DENCING FLOOR IPO TUPU
 
Yawezekana umasikini tumeuzoea, ila ni vyema ungewauliza wateja kwanza kabla haujaboresha wangekuambia wanahitaji nini? pili inawezekana hayo maandazi yaliyovunda kabatini ndio yanawakimbiza, tatu jenga tabia ya kutoa ofa ya chakula kwa walevi ili wakutukane kwa kukuambia mapungufu yako na uyafanyie kazi
Dah anyway mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea wateja wako walikuwa wa level gani, kama ni watu wa kipato cha chini ilikuwa haina haja ya kuboresha too much kwa sababu wengi wanaangalia mazingira yanayoendana na wao, pakiwa classic sana wanakuwa na hofu labda bidhaa zako pia ni za gharama sana.
 
Yawezekana umasikini tumeuzoea, ila ni vyema ungewauliza wateja kwanza kabla haujaboresha wangekuambia wanahitaji nini? pili inawezekana hayo maandazi yaliyovunda kabatini ndio yanawakimbiza, tatu jenga tabia ya kutoa ofa ya chakula kwa walevi ili wakutukane kwa kukuambia mapungufu yako na uyafanyie kazi
Nzuri hiyo
 
Are you interacting with your clients ? Umejaribu kuwauliza?

Wahudumu wako wapoje? Believe me, they can make or break you. Na kama kuna mpishi ama mhudumu ambae alipendwa na wengi na ukamhamisha watamfata huko huko alikoenda.

Mazingira ya toilet yapoje? Binafsi I'd never go to a place ambayo washrooms ni za ovyo, wahudumu wana bad attitude ama chakula hakieleweki.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom