Kwanini kila pakiboreshwa wateja wanakimbia?

Impimpi

JF-Expert Member
Jan 7, 2019
464
948
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua saikolojia ya wateja ni muhimu sana na pia ni ngumu sana kuijua, marketers hatusomi hiki kitu wakati ni kinabeba karibia 90% ya kazi zetu. Kubadilisha mazingira ndio sababu kuu ya wao kukimbia mgahawa, jitahidi kwenye biashara uwe na uhusiano wa karibu sana na wateja wako. Hakikisha unatengeneza mtandao wa wateja watakao kuwezesha japo kupata chochote in case wateja wa rejareja wasipo kuja kununua bidhaa kama ilivyo hivi sasa. Jikite kwenye kutafuta wateja wapya kwenye hiyo picha mpya ya duka usisubiri wakutafute mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wateja wameona unaanza kutajirika kupitia wao, si unajua tena wabongo tulivyo na wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano walipoona pamebadilika wakahiyimisha kuwa na bei itakuwa imepanda kuendana na panavyoonekana sasa.
Weka bango na unapoonana nao wachache waambie bei nibile ile.
 
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Simple weka bei za vyakula nje kwenye ubao unakuwa visible. Mteja akifika akisoma na akicompare na bei ya wali atajiridhisha kuwa nothing has changed. Infacts this is one of the key factor that explain why supermarket are not doing well in Tanzania than an other countries at least for EAC. Kosa ni kufanya mabadiliko chapu chapu
 
Ulikosea kupaboresha mkuu, ungetumia hiyo pesa KUFUNGUA banda jingine na kipato kingeongezeka.
Kiuhalisia hata wewe mwenyewe baaada ya maboresho yako lazima utapandisha gharama mana kutakuwepo na ongezeko la gharama za uendeshaji mfano umeweka mafeni so umeme utanunua unit nyingi zaidi, TRA wakikutembelea watakuongezea kodi ya mapato, wahudumu wako utalazimika kuwaongezea malipo mana hawatokuelewa uwalipe kama mwanzo ilhali umepata faida hata ya kukarabati ofisi, lazima waendane na hadhi ya mgahawa na sio mama ntilie/lishe tena, nina uhakika hata vyombo vya kutumia wateja umebadilisha hivyo gharama juu ya gharama na kama kweli ni mfanya biashara lazima utafute namna ya kubalance running cost ambayo kwa vyovyote vile lazima wateja wako watabeba hiyo gaharama la sivyo itakushinda na utafunga kabisa.
 
Simple weka bei za vyakula nje kwenye ubao unakuwa visible. Mteja akifika akisoma na akicompare na bei ya wali atajiridhisha kuwa nothing has changed. Infacts this is one of the key factor that explain why supermarket are not doing well in Tanzania than an other countries at least for EAC. Kosa ni kufanya mabadiliko chapu chapu
Kaka umeongea point sana.
Watanzania walio wengi hawana confidence ya kuingia sehem zenye muonekano mzur Kama zilivyo supermarket,huwa wana dhana kwamba wakienda kununua mkate pale watauziwa kwa bei ya juu wakati kumbe bei ni sawa tu na za mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka umeongea point sana.
Watanzania walio wengi hawana confidence ya kuingia sehem zenye muonekano mzur Kama zilivyo supermarket,huwa wana dhana kwamba wakienda kununua mkate pale watauziwa kwa bei ya juu wakati kumbe bei ni sawa tu na za mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa na utasikia mmh wala uko ndani si thubutu kuingia, yaani mi kuna duka ni minisuper market huwa nina nunua mkate sh.2000 mkubwa, na mtaani kwa machinga 2000 hiyo hiyo ila nkiwa na watu wanasema ww unaenda kununua mkate wa 3500 na hapa nje ni 2000 tu 😂😂😂 nawacheka nawaambia ni bei moja.
 
Kiufupi watanzania wengi hata wenye uwezo wa maisha afadhali wanapenda kununua sehemu au biashara ya bei nafuu kabisa, ukitaka kufanikiwa bongo ishi au chunguza tabia za wateja alafu fanya biashara, Tanzania wanapenda bei nafuu kuliko,

ulivoboresha tayari wamesha kariri siyo hadhi ya ile bei nafuu, na pia kuna jamaa alisema hapo juu ukiwa na wateja waelewa wakudumu wakiona unapata mabadiliko na wao wako pale pale wanakuwa na wivu wanaacha kukuungisha yaani wanaona unawapiga pesa 😂😂😂 kumbe pengine ni juhudi zako.
 
Kweli kabisa na utasikia mmh wala uko ndani si thubutu kuingia, yaani mi kuna duka ni minisuper market huwa nina nunua mkate sh.2000 mkubwa, na mtaani kwa machinga 2000 hiyo hiyo ila nkiwa na watu wanasema ww unaenda kununua mkate wa 3500 na hapa nje ni 2000 tu nawacheka nawaambia ni bei moja.
Kweli Kaka ndio saikolojia zao zilivyo,au mwingine anaona aibu kuingia supermarket halaf anunue kitu kimoja tu halaf anaona wenzake wamejaza kapu.
Hajui kwamba una haki ya kuingia mle na ukanunua mswaki tu halaf ukaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Kaka ndio saikolojia zao zilivyo,au mwingine anaona aibu kuingia supermarket halaf anunue kitu kimoja tu halaf anaona wenzake wamejaza kapu.
Hajui kwamba una haki ya kuingia mle na ukanunua mswaki tu halaf ukaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha iwe bongo bahati mbaya tu maana ukileta uzungu na umarekani mwingi unapotea maana exposure ya wabongo kwenye teknolojia ni ndogo, afu wananyota ya sh. 200 ukiweka sh. 500 umeumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom