Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

Gwappo Mwakatobe

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
870
1,000
Kwa wepesi ni kwamba kuzidisha au alama ya "mara" ni kujirudiarudia mara kadhaa namba ileile. Kama hakuna kujirudia, yaani sifuri, inamaanisha hakuna! "Hakuna" ndiyo sifuri.

Mathalani, 7 mara 0 (7x0), maana yake 7 isijirudie hata mara moja! Kwa kuwa kujirudia hakupo au hakuna, ni sifuri. Ukisema 7 mara 1, maana yake 7 ionekane mara 1, itaonekana 7 hiyohiyo na kwahiyo jibu ni 7.

Saba ikionekana mara 2, yaani 7 zikiwa 2 zitakuwa jumla 14. Upo hapo?!
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena: 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style.
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,773
2,000
Hujajibu swali
Nilishaeleza mapema kwenye post za juu, hapo nilikuwa nakazia tu.
Mkuu hesabu ina sheria zake,
Kuna kitu inaitwa laws of property kwenye hesabu ambapo multiplication ina obey commutative law (i.e 7×0 = 0×7) sasa sijui we unatumia maarifa gani kusema 7×0 sio sawa na 0×7.

Hesabu ni sayansi na science has no democracy. Science is about facts and facts have no feelings.

Katika vitu usiweke maoni yako ni science, hizi facts zilizopo ni after a thorough research kwa hiyo kama unataka kuraise critics you better do your homework (research) first.
 
Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,597
2,000
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena: 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style.
Umenena. Namba yoyote ikizidishwa na sifuri jawabu yake ni infinity ie namba kubwa mno
 
Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
761
1,000
Unalipwa mafao yako Tzs0 kila mwezi.
Baada ya miezi 12 utakuwa na shilingi ngapi?
Lazima uchukue ile 0*12=(0+0+0+0+0+0
......)=0.
Baada ya miezi 12 mafao yatakuwa 0.

Nikisema nitakupa Tzs100 kila mwezi. Wakati mwezi ukiwa bado haujaanza maana yake unakuwa kwenye 0. Sasa hiyo Tzs 100×mwezi 0 = itakuwa umeingiza shiling ngapi?
Jibu ni 0 kwa sababu mwezi bado hata mmoja.
Kwa hio nikiwa nina mbuzi 2 wenye mimba nikazidisha na idadi ya watoto 2 ambao watazaliwa (ila kwa wakati huo bado hawajazaliwa ni sawa na sifuri) kwa hio jumla ya mbuzi wangu wote itakua 0?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom