Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,761
- 71,144
Akizungumza pale Bagamoyo wakati wa kupokewa JK kasema sasa hataki kuulizwa ushauri kuhusu chama chake au serikali jee kaona nini mpaka anaamua kujitenga?
Jee kaona mwelekeo wa serikali ya awamu ya tano haushauriki hivyo hataki lawama huko mbele ya safari?
Kwa kawaida huko nyuma wastaafu wote walikuwa wanaingia kwenye baraza la wazee, lakini kwa kauli hii ya JK ni kuwa hataki hata hilo baraza la wazee. JPM ajiulize kwa nini mtangulizi wake kamzilia?
Tupende tusipende, JK kwa miaka kumi ya Urais na miaka kumi ya uwaziri wa Mambo ya Nje anaijua sana nchi hii na mizengwe yake, kwa kugoma kumshauri Magu hii ni dalili mbaya sana kwake Magu anapaswa kujiuliza