Kwanini kikwete hawezi mguta kazi Ngeleja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini kikwete hawezi mguta kazi Ngeleja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Jul 19, 2011.

 1. G

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 8,724
  Likes Received: 1,736
  Trophy Points: 280
  Tuwe wakweli ukaribu wa Kikwete na Malima katika ila dhana ya "mwenzetu" ni kigezo tosha cha kuweza kung'amua Ngeleja au Malima hawawezi kuondolewa na hata huyo Jairo ataondolewa kwa mbinde sanaa....! hiyo ndiyo Tanzania yetu
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mguta kazi ndio nini?
   
 3. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 4,654
  Likes Received: 2,861
  Trophy Points: 280
  Ulikua unakimbizwa wakati unaandika hii hoja.!!?
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  walaaahi umenichekesha saaaana ebwanae alimaanisha mfuta kazi
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Mguta ni lugha ya wapi
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,343
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jamani, munapo bandika andiko murejee baadae kuhakikiangalau sarufi kama siyo mantiki ya ujumbe.
   
 7. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Akishindwa kuwawajibisha basi awajibike yeye kwa niaba yao!!!!!!!!!!!!!!tumeshoka na ufisadi!!!!!!!!!
   
Loading...