Kwanini kikwete asipewe uraisi ,ikiwezekana atawale milele ..

Sitasahau enzi za huyu mzee jamani..
Vijana walisoma bila stress,boom likichelewa wakiandamana kidogo tu limekuja.
Wafanyakazi walikuwa na furaha,mishahara vyeo vilipanda kwa wakati
Starehe kila kona,weekend ikifika kula mtu havungi.
Wema sepetu alirusha manoti mpaka kwenye vigodoro mtaani hahahaa....Leo wema harushi hata elfu kumi.
Ile migomo ya Ulimboka ilkuwa ya nini?
 
Kikwete hakuwa rais bora ila Magufuli hakupaswa kuwa kiongozi kabisa na matatizo yote haya aliyoyaleta ni Kikwete

Mko tayari kuishi na mgawo wa umeme kama zamani ili tuuze magenerator?
 
hamnazo.....
 
Siasa nyepesi hizi

Alishindwa kutimiza hayo anayotaka kumshauri Mama yeye akiwa ndio Citizen no.1 nchini
 
Kikwete alijitahidi, pengine kuzidi JPM.

Lakini haimanishi alikuwa Rais bora.
 
Zilikuwa enzi za kuponda raha.
Sitasahau enzi za huyu mzee jamani..
Vijana walisoma bila stress,boom likichelewa wakiandamana kidogo tu limekuja.
Wafanyakazi walikuwa na furaha,mishahara vyeo vilipanda kwa wakati
Starehe kila kona,weekend ikifika kula mtu havungi.
Wema sepetu alirusha manoti mpaka kwenye vigodoro mtaani hahahaa....Leo wema harushi hata elfu kumi.
 
Sitasahau enzi za huyu mzee jamani..
Vijana walisoma bila stress,boom likichelewa wakiandamana kidogo tu limekuja.
Wafanyakazi walikuwa na furaha,mishahara vyeo vilipanda kwa wakati
Starehe kila kona,weekend ikifika kula mtu havungi.
Wema sepetu alirusha manoti mpaka kwenye vigodoro mtaani hahahaa....Leo wema harushi hata elfu kumi.
Hahahahahah

Mmeanza kumkana jiwe sio

Sio fair
 
Sitasahau enzi za huyu mzee jamani..
Vijana walisoma bila stress,boom likichelewa wakiandamana kidogo tu limekuja.
Wafanyakazi walikuwa na furaha,mishahara vyeo vilipanda kwa wakati
Starehe kila kona,weekend ikifika kula mtu havungi.
Wema sepetu alirusha manoti mpaka kwenye vigodoro mtaani hahahaa....Leo wema harushi hata elfu kumi.
Hayo unayoongea yalikuwa yanafanyika mijin tu.huko pembezon walikua matako yameota sugu kwa udun wa maisha

Watu wenye akil kama yako ni selfish mu+@-#&#cker
 
Kikwete ni kama amebaki Rais tu
Magufuli kaja na yake kapita
Samia influence ya Kikwete bado kubwa..

Ni Kama Rais symbolic...

Magufuli na Samia wote hawamfikii Kikwete kinyota...

Influence yake bado kubwa sana
Nakuunga mkono .

Yaani kikwete ana influence kubwa Sana japo amestaafu miaka 6 iliyopita
 
Twende taratibu mkuuu, Mwendazake alianza hii mambo lakini leo hayupo, Kikwete bado tunampenda, acha hizo Habari. au unataka nae azungushwe Dar, Dodoma, Mwanza na Hatimaye Msoga??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom