NINAHASIRA
Member
- Nov 5, 2010
- 58
- 9
Kwani tanzania ilikuwa haina rais,waziri mkuu na mawaziri? Sasa anayeapishwa c alikuwa rais hata cku tunapiga kura,matokeo hayajatangazwa .............................mi sielewi
ndo katiba ya nchi yetuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kwani tanzania ilikuwa haina rais,waziri mkuu na mawaziri? Sasa anayeapishwa c alikuwa rais hata cku tunapiga kura,matokeo hayajatangazwa .............................mi sielewi
Ok! kumbe tatizo nishajua kiini chake thus why Dr anadai ibadilishwe.Soma katiba kaka , kila kitu kipo wazi kule mkuu