nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,896
Tamisemi...
Kwanini wanatumia kigezo cha kujitolea katika kutoa ajira??
Kwanini wanatumia kigezo cha kujitolea katika kutoa ajira??
kutokana na bunge la leo inaonyesha hizi ajira kigezo kikuu ni mwaka wa kumaliza na mawaziri wamekataa swala la kujitolea kuwa kigezo kwa kuwa kuna watu wataandikwa wamejitolea kumbe hapana, kwa masomo kama phys au math sio rahis kumkuta wa 2015-2017, ila labda kwa masomo kama englsh pekee uko watawapata, , kwahyo kwa masomo ya arts ni only englsh na literature wamesema ndio watachukuliwa ,,ila kwa sayans ni masomo yote ila mwaka unazngatiwa,
Dah walimu wa arts ni changamoto..kutokana na bunge la leo inaonyesha hizi ajira kigezo kikuu ni mwaka wa kumaliza na mawaziri wamekataa swala la kujitolea kuwa kigezo kwa kuwa kuna watu wataandikwa wamejitolea kumbe hapana, kwa masomo kama phys au math sio rahis kumkuta wa 2015-2017, ila labda kwa masomo kama englsh pekee uko watawapata, , kwahyo kwa masomo ya arts ni only englsh na literature wamesema ndio watachukuliwa ,,ila kwa sayans ni masomo yote ila mwaka unazngatiwa,