Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,701
- 36,119
Kumbe Kenya wana akili timamu
Hahahaha, Sasa kwanini mnaweka Mambo hapa JF Kama hamna uwezo ya kuyafafanua?, Lengo la JF ni mijadala yenye kuelimishana na kubadilishana uzoefu wa Mambo mbalimbali.Kama unataka kujua mengi zaidi kuhusu mtaala wenyewe fanya risechi yako mwenyewe. Sio jukumu langu kukuelimisha, acha uvivu.
Wapi hiyo ilishawahi kutumika duniani ili tujaribu kupima ufanisi wake.Hapo sasa, mtaala huo mpya wa CBC unatilia mkazo kwenye 'competence'. Yaani uwezo wa mwanafunzi 'ku-apply' hiyo 'knowledge' aliyoipata shuleni kwenye maisha ya kawaida. Sio tu kwenye shughuli ya kupita mitihani ya 'kitaifa'. Ambayo sasa itatupiliwa mbali na nafasi yake kujazwa na mitihani kadhaa(assessments). Ambazo zitakuwa zinafanywa mara kwa mara, sio tu mwisho wa mwaka au labda baada ya miaka 6 ya elimu ya shule ya msingi/miaka 6 ya shule ya upili.
Nadhani uzi huu ulikuwa kwenye jukwaa lingine na aliyeibuka nao ni mtanzania mwenzenu. Anyway, tashwishi halipo kwenye uwezo wangu wa kufafanua. Bali ni kwamba sina huo muda wa kudadavua kila jambo, kwa yeyote yule anayetaka kutafuniwa. Sitalipwa kwa huduma hiyo, ambayo itapoteza muda wangu bure. Kwa Kikikuyu huwa wanasema, ní gútee! Kumaanisha ni hasara tupu! Au ukipenda, ní úrimú! 😄Hahahaha, Sasa kwanini mnaweka Mambo hapa JF Kama hamna uwezo ya kuyafafanua?, Lengo la JF ni mijadala yenye kuelimishana na kubadilishana uzoefu wa Mambo mbalimbali.
Mfumo wa 8-4-4, ambao umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi nchini Kenya ulibuniwa na wakenya wenyewe. Wala hautumiki sehemu yeyote ile nyingine duniani. Licha ya mfumo huo wa zamani kuwa na mapungufu yake bado umekuwa wa faida kubwa sana kielimu nchini Kenya na una afueni zaidi ya mifumo yote inayotumiwa kwenye nchi zote zingine ukanda huu wa A.M na ya Kati.Wapi hiyo ilishawahi kutumika duniani ili tujaribu kupima ufanisi wake.
Hawezi kumtaja wala kujua chochote na hajui kwenye ajira hawatizami matokeo yako but education, skills, knowledge and sometimes experiences.Akimtaja unitag mkuu!!Mi sijaona hata Mimi ni graduate LAKINI nazalisha ajira za house girl tu na kuuza duka out of the professional yangu!!!
Ni throw. aya tigana nao . yaani kumaanisha CBC iko sawaNadhani uzi huu ulikuwa kwenye jukwaa lingine na aliyeibuka nao ni mtanzania mwenzenu. Anyway, tashwishi halipo kwenye uwezo wangu wa kufafanua. Bali ni kwamba sina huo muda wa kudadavua kila jambo, kwa yeyote yule anayetaka kutafuniwa. Sitalipwa kwa huduma hiyo, ambayo itapoteza muda wangu bure. Kwa Kikikuyu huwa wanasema, ní gútee! Kumaanisha ni hasara tupu! Au ukipenda, ní úrimú! 😄
Huu ambao hamuwezi kuingia vyuo nchi za magharibi bila kufanya a levels equivalent!Mfumo wa 8-4-4, ambao umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi nchini Kenya ulibuniwa na wakenya wenyewe. Wala hautumiki sehemu yeyote ile nyingine duniani. Licha ya mfumo huo wa zamani kuwa na mapungufu yake bado umekuwa wa faida kubwa sana kielimu nchini Kenya na una afueni zaidi ya mifumo yote inayotumiwa kwenye nchi zote zingine ukanda huu wa A.M na ya Kati.
Kwa ufupi ni kwamba tuna uwezo wa kubuni na kujipangia wenyewe. Sio lazima tuige kwenye kila jambo, elimu ni suala nyeti mno.
wivuu inaongea hapa wala sio reasoning ama common sense, umejibu kwa maumivu mzee 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hili ndio tatizo lenu wakenya, kujisifia hovyo bila kuwa na vigezo vyovyote;Mfumo wa 8-4-4, ambao umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi nchini Kenya ulibuniwa na wakenya wenyewe. Wala hautumiki sehemu yeyote ile nyingine duniani. Licha ya mfumo huo wa zamani kuwa na mapungufu yake bado umekuwa wa faida kubwa sana kielimu nchini Kenya na una afueni zaidi ya mifumo yote inayotumiwa kwenye nchi zote zingine ukanda huu wa A.M na ya Kati.
Kwa ufupi ni kwamba tuna uwezo wa kubuni na kujipangia wenyewe. Sio lazima tuige kwenye kila jambo, elimu ni suala nyeti mno.
Acha kupoteza muda wako ukijaza pumba zako kwenye servers. CBC haijaanza jana na kwa muda wote huo wa uwepo wake hakuna uzi wowote umeanzishwa humu na wakenya. Nyinyi wenyewe ndio mmeibuka na taarifa zenyewe humu na nyinyi wenyewe tu ndio mnaisifia. Huku mkiponda vyenu, yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe kama machizi.Hili ndio tatizo lenu wakenya, kujisifia hovyo bila kuwa na vigezo vyovyote;
1)Kenya imeendelea kuwa na tatizo la unemployment rate kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu
2)Kenya imeendelea kuwa na very poor civil engineers katika ukanda huu na Africa kwa ujumla, majumba yanayoporomoka Kenya kwa mwaka ni sawa au kuzidi Nyumba zote zinazoporomoka Africa Nzima
3)Kenya imeshindwa kupambana na tatizo la ukame miaka yote tangu 1963
4)Elimu ya Kenya imeshindwa kabisa kupambana na ukabila
5)Tatizo la maji ni sugu Kenya
6)Rushwa imekita mizizi Kenya
Elimu nzuri ni Ile inayoiwezesha jamii husika kutatua matatizo yake, sio kukimbilia nchi za nje kufanya kazi ili kutuma pesa nyumbani, huo ubora wa Elimu ya Kenya unaonekana wapi?
Mkuu hoja iko chini sana.Hapo sasa, mtaala huo mpya wa CBC unatilia mkazo kwenye 'competence'. Yaani uwezo wa mwanafunzi 'ku-apply' hiyo 'knowledge' aliyoipata shuleni kwenye maisha ya kawaida. Sio tu kwenye shughuli ya kupita mitihani ya 'kitaifa'. Ambayo sasa itatupiliwa mbali na nafasi yake kujazwa na mitihani kadhaa(assessments). Ambazo zitakuwa zinafanywa mara kwa mara, sio tu mwisho wa mwaka au labda baada ya miaka 6 ya elimu ya shule ya msingi/miaka 6 ya shule ya upili.
Mbona kuna mabadiliko ya mtaala yanafanyika !nenda tovuti ya TIE utoe maoni yako!Mfumo wetu ni wa kizamani sana hili ndo watu wanapaswa kulipigia kelele
Mkuu nafurahi kuona kwamba kuna watu km nyie tunawaza pamojaMtoto some shule ya msingi ila akifika olevel achague fani akishindwa tutamchagulia tena kwa fimbo
Huko sasa anapewa kazi ya ubunifu kwa lazima kwanza. Unapewa assignment unda au tengeneza ant virus ya computer kwa wale watakao somea mambo ya computer ukishindwa viboko.
Mechanical engineer atutengenezee engine ya piki piki au bajaji tena aeleze na mechanism yake akishindwa viboko vya mgongoni yaan kama China tu.
Dunia ya sasa ni mwendo wa technolojia lazima tuende nayo
Elon musk ni scientist mzur sana mzee wa space X kwa nn sisi tusiweze?
Mtoto akipenda history asome vzr yaaan awe deep na history ya sehem fulan atapimwa kwa kuandika vitabu.
Kiswahili hivo hivo ukishindwa viboko
🤣🤣🤣Hili ndio tatizo lenu wakenya, kujisifia hovyo bila kuwa na vigezo vyovyote;
1)Kenya imeendelea kuwa na tatizo la unemployment rate kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu
2)Kenya imeendelea kuwa na very poor civil engineers katika ukanda huu na Africa kwa ujumla, majumba yanayoporomoka Kenya kwa mwaka ni sawa au kuzidi Nyumba zote zinazoporomoka Africa Nzima
3)Kenya imeshindwa kupambana na tatizo la ukame miaka yote tangu 1963
4)Elimu ya Kenya imeshindwa kabisa kupambana na ukabila
5)Tatizo la maji ni sugu Kenya
6)Rushwa imekita mizizi Kenya
Elimu nzuri ni Ile inayoiwezesha jamii husika kutatua matatizo yake, sio kukimbilia nchi za nje kufanya kazi ili kutuma pesa nyumbani, huo ubora wa Elimu ya Kenya unaonekana wapi?
I like when you find some interesting threads from their sub forum and bring them out here just for giggles....keep it upSema Wabongo hujijua na wakiwa wenyewe kwa wenyewe hawaongopeani, kuna huu uzi huku nimeusoma nikajikuta nahuzunika na kucheka kwa wakati mmoja, hebu fuatilia Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa