Kwanini miradi aliyofanywa na Hayati Magufuli wanasema ni ya Awamu ya nne?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,397
8,880
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo?

I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja la mto Malagarasi, barabara ya B’moyo - Msata ambayo inatumiwa sana na watu wa Kilimanjaro na Tanga kutokea Dar that’s just about it.

Lakini yaliyobakia yote ni Mzigo wa Magu kwa nini hawataki kukubali? Hata tu Barabara ya Moroko - Mwenge wanasema ni Japani na siyo Magu, wanakwenda mbali hata kusema flyovers ni za Awamu ya 4 na siyo Magu, kwa nini? Kuna kuna tatizo gani mzigo aliopiga Magu ukaachwa na kukubalika? Hakuna anayepinga UDOM ni ya Awamu 4?

Give credits where it’s due …
 
Kwanini tunapenda individualism? Hatuwezi kujivunia mafanikio kama nchi badala ya kutaja viongozi? Kwanini tusijipongeze kwa kupiga hatua kadha wa kadha badala ya kutaka kuonesha kuwa mtu fulani ndiye ameleta mafanikio hayo single handedly?

Tubadilike.
 
Magu alipiga mzigo mwingi sana. Mauwaji utekaji utesaji unyang'anyi kubambikia kesi kufunga watu na kubomoa makazi ya watu kimara

Hakuna alichofanya Cha maendeleo.

Leo hii chini ya Mama SSH na Hussein Mwinyi nchi imetulia hakuna vilio wa kutekwa.

Mungu alimuua kwa maombi yetu
 
Hakuna Rais aliyemfikia Jakaya kwa idadi za kilometa za lami alizojenga. Kikwete alitengeneza barabara ndefu zenye kilometa nyingi kuunganisha mikoa Tanzania. JPM alitengeneza barabara za kilometa moja au mbili za halmashauri/mitaa Hilo halipingiki. Na alimwachia miradi au mipango iliyomrahisishia Jpm kukamilisha hiyo miradi
 
Sasa yamekuwa mashindano ya kumsifia nani kafanya nini wakati ni lazima na ni wajibu wa katiba kufanya maendeleo

Hivi kuleta maendeleo kumbe ni jukumu binafsi
Mbona huku nje hatuoni wakisemana kuwa nani kajenga nini na bali huwa kuna muendelezo tu mahali palipoishia na hela ni za Umma sio za Rais
 
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa raisi kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lkn wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo ?

I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja la mto Malagarasi, barabara ya B’moyo - Msata ambayo inatumiwa sana na watu wa Kilimanjaro na Tanga kutokea Dar that’s just about it.

Lkn yaliyobakia yote ni Mzigo wa Magu kwa nini hawataki kukubali ? Hata tu Barabara ya Moroko- Mwenge wanasema ni Japani na siyo Magu, wanakwenda mbali hata kusema flyovers ni za Awamu ya 4 na siyo Magu, kwa nini ? Kuna kuna tatizo gani mzigo aliopiga Magu ukaachwa na kukubalika ? Hakuna anayepinga UDOM ni ya Awamu 4 ?

Give credits where it’s due …
Kwamba hayo mambo mazuri yaliyofanyika awamu ya 4 kama ulivyoyataja hakuwa na mawaziri? Kwamba awamu ya 4 Rais alikuwa Mwendazake sio?

Ma fool hamtakaa muishe Duniani 😆😆
 
Kwanini tunapenda individualism? Hatuwezi kujivunia mafanikio kama nchi badala ya kutaja viongozi? Kwanini tusijipongeze kwa kupiga hatua kadha wa kadha badala ya kutaka kuonesha kuwa mtu fulani ndiye ameleta mafanikio hayo single handedly?

Tubadilike.

Safi sana, hoja nzuri, unaona hata hawataki kumalizia Bwawa la Nyerere ambalo lingetupa zaidi ya 2000 MW na kuondoa mgao wa umeme.
 
Hakuna Rais aliyemfikia JaKaya kwa idadi za kilometa za lami alizojenga. Kikwete alitengeneza barabara ndefu zenye kilometa nyingi kuunganisha mikoa Tanzania. JPm alitengeneza barabara za kilometa moja au mbili za halmashauri/mitaa Hilo halipingiki. Na alimwachia miradi au mipango iliyomrahisishia Jpm kukamilisha hiyo miradi

Weka mifano ya barabara za Awamu ya 4!
 
Kumbe na wewe utakufa! Nilifikiri unashangilia utaishi milele. Hebu tuthibitishie hayo mauaji aliyoyafanya Magu.
Wewe hutakufa sawa, shangilia milele, Si umfuate Tu huko aliko unasikitika kitu gani?
Hivi yule Ben Saanane, wale aliowauwa kwenye uchaguzi bara Na Zanzibar au wewe huna jamaa yako humo . List ni ndefu bila wale waliookotwa Coco beach
 
Back
Top Bottom