Kwanini katika Mafunzo yoyote yale ya ' Kijeshi ' Wiki Sita za Kwanza huwa mnalazimishwa kutokulala?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,795
Je, kuna faida gani ya Kimedani ( Kijeshi ) anayopata Mtu akipewa Mafunzo ya Kutokulala katika Wiki zake Sita ( 6 ) za mwanzo katika Kozi yake?

Nitashukuru nikijibiwa na hata Kuelimishwa vyema katika hili.
 
Ukipita jibu pia ulizia test yao kujua kama ni mzima au hanisi au shoga

Sijaishia tu Kuwauliza bali pia nimewaonyesha hii ' post ' yako na hili Swali lako ulilouliza na hata Wao pia wamenza kuwa na Mashaka nawe kama zinakutosha, hudindishi na hunyabeliwi pia. Je, na Wao wapo sahihi Kwako Mkuu? Nasubiri jibu langu tafadhali.
 
CCP,KIWIRA,JESHI LA WOKOVU hakunaga hayo mambo
Je, kuna faida gani ya Kimedani ( Kijeshi ) anayopata Mtu akipewa Mafunzo ya Kutokulala katika Wiki zake Sita ( 6 ) za mwanzo katika Kozi yake?

Nitashukuru nikijibiwa na hata Kuelimishwa vyema katika hili.
 
Jeshi sio chuo cha Uhasibu lazima usotee kweli kweli msoto ambao wanaume karibu wote wa kizazi hiki wataukimbia...

Ile kasheshe inakuondoa uraia na kukuweka sawa kuwa mjeda kamili..6 week zitakuivisha ili wakati wa vita usipate kulala hovyo
 
Je, kuna faida gani ya Kimedani ( Kijeshi ) anayopata Mtu akipewa Mafunzo ya Kutokulala katika Wiki zake Sita ( 6 ) za mwanzo katika Kozi yake?

Nitashukuru nikijibiwa na hata Kuelimishwa vyema katika hili.
Jamaa pale magogoni yuko busy sana, kitanda kizima kimejaa mafaili, sidhani hata kama anapiga show kwa jinsi ambavyo yuko busy na kuhakiki cheti vya Walimu wa upe
 
Yaah popoma is back

Am happy to see you broh

Walkuja wengi wakijiita kwa majina yako et kwamba wao ni wewe mmoja alijiita eagle mwingine akajiita popoma msaidizi

Swali lako nakuja kulijibu

Asante kwa Kunikaribisha tena Jamvini. Popoma Shangazi yako / Mjomba wako. Siku zingine nikiwa narudi hivi hewani tena hapa usiwe unashangilia / msiwe mnashangalia kwani kuna ' Majini Watu ' fulani hawapendi Kuiona hapa hii ID na ikiwepo hivi huwa wanaumia mno na wanakosa hata furaha hapa. Furaha yako ni kuona nasemwa vibaya na hata kupigwa ' BAN ' za muda mrefu wakidhani kuwa ' nakomolewa ' huku wakiwa wamesahau kuwa Siku zote aliyebarikiwa amebarikiwa tu hata umfanyeje.

Kuhusu hao Watu wako uliowataja hapa sijui akina An Eagle, Popoma Msaidizi na nimeona tena mahala nimehusishwa na ID ya cleverbright sihusiki nazo kwa namna moja au nyingine. Na pia sijaona ubaya wowote kama labda wamevutiwa nami hasa ' Kiuwasilishaji ' wangu hapa Jamvini na wakapenda ' Kujirasimisha ' kama siyo ' Kujinasibisha ' na Mimi hasa ukizingatia kuwa na Wao wanapenda kuwa ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' kama Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE. Hata Simon Msuva anatamani sana kuwa kama Luis Suarez japo hata ajitahidi vipi hawezi na hatoweza Kumfikia.

Mwisho ni Ombi tu Kwako Rafiki yangu nitafurahi kama hapo katika ' Signature ' yako yatabaki maneno haya tu au yasomeke hivi ' Humble and Wise ' au ' Humble and Intelligent ' lakini siyo ' Humble, Wise and Intelligent ' kwani maneno hayo mawili ya ' Wise and Intelligent ' katika Uwanda wa Kimantiki yana maana ile ile tu. Ni sawa sawa na useme ' Chooni, Msalani ' au ' Kimba, Kinyesi, Mavi '.

Otherwise nimefurahi kuupata Ukaribisho wako kwani Wewe ni Mmoja wa ' Members ' ninaowaheshimu na kuwapenda mno.
 
Je, kuna faida gani ya Kimedani ( Kijeshi ) anayopata Mtu akipewa Mafunzo ya Kutokulala katika Wiki zake Sita ( 6 ) za mwanzo katika Kozi yake?

Nitashukuru nikijibiwa na hata Kuelimishwa vyema katika hili.
Sio majeshi yote yana kesha.
 
Je, kuna faida gani ya Kimedani ( Kijeshi ) anayopata Mtu akipewa Mafunzo ya Kutokulala katika Wiki zake Sita ( 6 ) za mwanzo katika Kozi yake?

Nitashukuru nikijibiwa na hata Kuelimishwa vyema katika hili.
kamuulize dada ako
 
Popoma is back in the house! Karibu sana kundini baada kuhudhuria Depo kwa kipindi kirefu. Next time jitahidi tu kuvumilia. Ndiyo ukakamavu wenyewe ule unaotakiwa Jeshini.

Na ni kwanini baada tu ya hizo Wiki Sita ( 6 ) macho ya ' Wanamafunzo ' huwa ni Mekundu sana na huwa wanakuwa ' Makatili ' ghafla huku ' Uwoga ' wakiwa hawana tena? Kuna Siri gani iliyojificha hapo mwana ' Depo ' Wewe Mwanndamizi Tate Mkuu?
 
Mimi nadhani hawa jamaa kazi yao kuu ni kuimarisha Ulinzi na ili uwe mlinzi mzuri inabidi usingizi uusikie kwenye bomba tuu! Ila ngoja waje
 
Back
Top Bottom