Kwanini katibu mkuu wa baraza la mitihani haijawahi kushikwa na muislam? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini katibu mkuu wa baraza la mitihani haijawahi kushikwa na muislam?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Apr 3, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna shutuma kwamba baraza la mitihani ndio chanzo cha waislam kuwa nyuma. ktk mijadala yao mingi hulitaja baraza la mithani kama ni source ya wao kuwa nyuma.
  wanasema eti sio bahati mbaya kuwa baraza hilo kutoongozwa na muislam .
  Ijapokuwa waziri huwa muislam.lkn wanaamini katibu mkuu ndio mtendaji mkuu.

  jee kuna katibu yoyote muislam?
  hawa hapa ni wenyeviti
  1973-1977=Pius Msekwa
  1977-1980= M Kaduma(mkristo)
  1980-1988=Nikoras Kuhanga

  1988-1992=Prof Mmali
  1992-1999=Prof Ruhanga
  1999-2004=Prof Mmali
  2004-2009=Prof Mwaikando
  2009-hadi leo Prof Mkandala
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hizi si hoja jamani,tanzania twaenda wapi?
   
 3. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kwasababu hasoma. haya uliza lingine ww bweege. ebo huna cha kufanya kalale!
   
 4. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hawakusoma, nyinyi mliosoma mbona mnaongoza kwa ufisadi? mnesaidia nini taifa letu?
   
 5. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani ili uwe katibu mkuu ufikie elimu gani kwa sasa?
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Waislamu wachache wanaosomea shule zisizo za aina ya 'madrassa' wanabobea vizuri ktk taaluma husika. Nafikiri katibu mkuu anapaswa awe na master degree na kuendelea kwenye taaluma husika.
   
 7. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  OMG! This is too much! Toeni BS hapa. nini kazi ya examination numbers?
   
 8. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  upuuz m2pu, mtahoji kila ki2, nyie hamtaki aman, sasa endeleen muone kama wakristo 2tanyamaza, hata goliat alipokuwa anamchokonoa daud, daud alimshikisha adam, sasa na nyie waislam ndiko mnako elekea.
   
 9. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ******, RA, Idd simba,R1, . . . . Wamesilim lini?
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  yan kwel wewe ni muhogomchungu wa ukwel! Umekosa kbsa v2 vyenye maana unaulza mambo ya kjinga hpa? Hv kwn waislam mnatka nn hasa?
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Jamani mkuu kwanini uangalie kwa jicho la dini? kwani umeambiwa alipo anahubiri injili? hebu tupe list ya makatibu wake tangu BMT lianzashwe. Think big buddy!
   
 12. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,500
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli muislamu ni nani?si ni mtanzania tu ,je hilo baraza akishika muislamu ndio atawapa mitihani waislamu mufaulu au,hayo ni mawazo ya mtu ambaye ni IDIOT
   
 13. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwa ujuavyo wewe toka uhuru hakuna muislam mwenye sifa hizo?

  2009=makanisa yalipewa 45bilion kuendeleza makanisa
  2010=makanisa yakapewa 54bilion kwa ajili hiyohiyo
  2011=makanisa yamepewa 600 bilions

  mbona waislam hawapewi hata shilingi? tunasema hatukubali mpaka the same amount waislam nao wapewe, wala hatusikii propaganda ya aina yoyote kwa hili.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  toa mchanganuo mkuu, hayo makanisa yalipewa hiyo mipesa na nani na kwa ajili ya nini, mbona sijawahi kusikia bajeti ya taifa ikipitisha hiyo mipesa kwa ajili ya makanisa? Tusiwe kama walevi wa kahawa kwa kubwabwaja tu. Leta data kama mtu anayefikiri mkuu. Mtabaki kulalama na ikibidi mjifunge m...... kama wenzenu!
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kuwait Fund, OIC, Ghadafi walikuwa hawatoi misaada? au wao wanawaletea mabomu ya kujilipua na MAJAMBIA tuuu??
   
 16. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wameshiba amani saa wanataka dessert ya "vita"
   
 17. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  hata utype upupu wa namna gani jua kuwa aluta ndio hiyo mkuu. Tena aluta ya ukweli ukweli
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  kwanza waislam tujiweke sawa katika taasisi ya kiislam itakayo kuwa na vision kwa manufaa ya jamii ya kiislam tanzania kabla ya kufikiria nafasi za serikalini. MBONA HUJAULIZA NI LINI TANGANYIKA ITAKUA NA SHEIKH MKUU MWENYE PHD,MASTERS YA WALAU ISLAMIC STUDIES?
   
 19. P

  Popompo JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  hapa imebaki kujifunga mabomu na kujilipua!kaaazi kwelikweli!hivi hiyo aluta unayoiongelea ikianza utakuwa kwnye kundi gani?bora unyimwe utajiri lakini upate hekima!duh shughuli nzito
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Leo ndo nmegundua kumbe kahawa na kashata znalevya!!! Mawazo ya hawa wenze2 juu ya mustakabal wa nchi ni kchekesho! Cjui wanapata faida gn kuandika ujinga humu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...