Kwanini kanda ya pwani na kati imekuwa ngome kuu ya CCM?

shamajengo

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,217
1,431
Amani kwenu wanajukwaa ni matumaini mu wazima

Ni swali nimekuwa nikijiuliza kwanini mikoa ya kilimanjaro arusha,iringa,mbeya,mwanza,kagera,shinyanga,kigoma vyama vya upinzani hususan chadema vimekuwa na nguvu ukilinganisha na segemu zingine kama vile kanda ya kati na pwani ni nin hasa chanzo na ni kwanin kanda hizi pwani na kati imekuwa ngome kuu ya ccm msaada tafadhali
 
Arusha ina wabunge wangapi wa Chadema na wangapi wa CCM? Iringa,Kagera,Mwanza, Shinyanga na Kigoma vilevile ili tuanze kujadili dai lako.
 
Umesahau MARA, MBEYA, NJOMBE, MTWARA na SONGEA HUKO KOTE CHADEMA IMEDOMINATE
 
Huenda ni kwa sababu CDM ilielekeza nguvu nyingi kwenye hiyo mikoa.
Na sasa ni wakati mwafaka kuelekeza nguvu mikoa uliyosema CCM ina nguvu.

Siyo vibaya na wewe ukashiriki kusaidia ili UKAWA ipate nguvu zaidi na zaidi Tanzania nzima.

Do Something....
 
Pamoja na hawa wachache waliopo kwa hyo mikoa bdo huwez linganisha ni mikoa mingne kama dom
 
Yaweza kuwa kweli maana wanaweza kumkubali mtu lakn wakasema tatizo hayuko ccm wanaamini kiongoz lazma atoke ccm au ndo fikra za nyerere bdo zinadumu
 
Arusha ina wabunge wangapi wa Chadema na wangapi wa CCM? Iringa,Kagera,Mwanza, Shinyanga na Kigoma vilevile ili tuanze kujadili dai lako.

Elewa uzi ndio uchangie,na siyo lazima kuchangia kama hujajipanga kwani utatia aibu
 
Jibu raisi ni kwamba, hiyo mikoa elimu imepita vema ivo wanajitambua sio kama pwani na kanda ya kati bado hawajielewi.
 
Sababu ni supu ya pweza ambayo ukiitumia sana akili zote za kujikomboa zinabaki kufkiria chini tu hasa kwa wanaume wezangu.
 
Amani kwenu wanajukwaa ni matumaini mu wazima

Ni swali nimekuwa nikijiuliza kwanini mikoa ya kilimanjaro arusha,iringa,mbeya,mwanza,kagera,shinyanga,kigoma vyama vya upinzani hususan chadema vimekuwa na nguvu ukilinganisha na segemu zingine kama vile kanda ya kati na pwani ni nin hasa chanzo na ni kwanin kanda hizi pwani na kati imekuwa ngome kuu ya ccm msaada tafadhali

1. CCM ni chama cha waswahili - sasa waswahili ndo wamejazana kwenye hiyo mikoa ya pwani na kati(mi pia ni wa kanda ya kati kwa hiyo sioni shida kusema ukweli)

2. Sifa ya maeneo ya kiswaz ni viwango duni vya elimu na underdevelopment - sasa wajinga hawawezi kuelewa kuwa times have changed,wao hung'ang'ana na wanachokijua - ndo wanaijua CCM
 
Elewa uzi ndio uchangie,na siyo lazima kuchangia kama hujajipanga kwani utatia aibu

Huo ushabiki wako ume base kwenye nini?Leteni takwimu wacheni ushabiki wa JF wa ohh tuna ngome fulani kwa ushahidi gani?
 
Huu ujinga wa kuwaita wapiga kura waswahili ndio utawaangusha vibaya. CUF mnaoshirikiana nao ni wazungu? Au nyie wahindi?
 
Huo ushabiki wako ume base kwenye nini?Leteni takwimu wacheni ushabiki wa JF wa ohh tuna ngome fulani kwa ushahidi gani?

matokeo ya uchaguzi mdogo si uliyasikia au uliazimisha ubongo na masikio mbna mnapenda kuzunguka while swali liko wazi kabisa
 
Huu ujinga wa kuwaita wapiga kura waswahili ndio utawaangusha vibaya. CUF mnaoshirikiana nao ni wazungu? Au nyie wahindi?

hivi kati ya hizo kanda tajwa we upo ya kati au pwani isijekuwa hutaki kuukubali ukweli kwa kujifanya unajua kubwabwaja
 
Back
Top Bottom