Kwanini kampuni ya mawasiliano inafananishwa na kiungo cha mwili?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,333
Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?
 
Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?
Mtumishi,
Mie nadhani ili kuweka mambo sawa ungekitaja tu,
Mmmmh!japo huishi vituko pasta ww!
 
Mikampuni mingine hovyo kabisa bora kabisa kuifananisha na waste inayotoka kwenye kiungo hicho.
 
Kuna kiungo mwilini mwa mwanadamu kina code name ya kampuni moja kubwa ya mawasiliano, kwanini kiungo hcho kinafananishwa na kampuni hiyo?[/QUOTE]

Isije ikawa huduma za kampuni zinafanana na kiungo tajwa.......Natafakari kwa sauti; samahani!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom