Kwanini kampuni nyingi za teknolojia zinamuogopa Apple

Kweli? Aisee

Ios 15 ni 64 bits OS inawezaje kurun kwenye hardware ya 32 bits?
Mkuu hilo sijui yule jamaa yupo kwenye maduka ya simu pale kkoo nadhan nifundi software za cm, Mm sikuuliza sana nikijua ni mambo ya jailbreak tu, hata nilipofatilia youtube ni kwel inawezekana
 
Mkuu hilo sijui yule jamaa yupo kwenye maduka ya simu pale kkoo nadhan nifundi software za cm, Mm sikuuliza sana nikijua ni mambo ya jailbreak tu, hata nilipofatilia youtube ni kwel inawezekana
Youtube kuna uongo mwingi kwa ajili ya views. Labda lakini nina mashaka maana kuinstall 64 bits OS kwenye 32 bits hardware ni kitu ambacho hakiwezekani si kwa simu hata PC
 
Youtube kuna uongo mwingi kwa ajili ya views. Labda lakini nina mashaka maana kuinstall 64 bits OS kwenye 32 bits hardware ni kitu ambacho hakiwezekani si kwa simu hata PC
Ni kwel hilo jambo la 32 kwa 64 bit naelewa, Ila kuhusu hiyo ios ni kwel mkuu, labda niwe nimechanganya kati ya 14 na 15 maana sikufatilia sana. Mm pia muda huo nilikuwa na tunda akachukua na kuifanyia comparison zote zilikuwa zinaendana yani yangu ilikuwa ios 15
 
Hapana mkuu hata hivyo nadhan kuanzia ios 10 ndo 64 bits so hata ingekuwa 14. Unless kama watu wamedit na kuifanya customization ios ya zaman ikakubali ma whatsapp na ikawa na skin ya ios 15 kama ilivyokuwa inafanyika kwenye iphone 3 na wale sijui walikuwa wanajiita white nini kipindi kile wana ios inaitwa sijui white nini nshasahau
 
Hapana mkuu hata hivyo nadhan kuanzia ios 10 ndo 32 bits so hata ingekuwa 14. Unless kama watu wamedit na kuifanya customization ios ya zaman ikakubali ma whatsapp na ikawa na skin ya ios 15 kama ilivyokuwa inafanyika kwenye iphone 3 na wale sijui walikuwa wanajiita white nini kipindi kile wana ios inaitwa sijui white nini nshasahau
Inaweza ikawa hivyo maana Sifahamu kiundani
 
Kkoo mkuu, nimeiona na kuikagua mwenyew iOS 15 na jamaa anakula zake watsap, IG fresh yaan zile features zote zipo ukiachana na zile features zengne znazotokana na hardware ya simu
Pengine wamerename tu ios ya zamani, nitacheki zaidi.
 
Ninaona umeamua kutanguliza ushabiki kuliko uhalisia. Kwanza nani kakwambia other tech giants wanamuogopa Apple? Hizo ni story za vijiwe vya kahawa no facts at all. Apple (iPhone & its cousins) are just overrated
Mbongo ukimkuta anaichambua iphone au any product from Apple unaeza sema Steve Jobs kafufuka muulize updates na features au ivuruge kidogo tu mpe atengeneze utacheka sana.. nachokijua Apple wapo overrated sana hasa huku africa
 
Kwanini unasema wako overrated wakati ni kampuni inayofanya vizuri na ndio the most valuable brand. Sasa inakuwaje overrated wakati ndio brand yenye value zaidi?
 
hapana mkuu
hii ni macbook pro 14" 2020 ina M1 chip mzee
hata F1 F2 nk hamna kwenye keyboad wameweka touch tu ya multimedia key
hii ilinunuliwa kwaajili ya hapa ofisini na mimi ndio nilichagua hii toka website ya Apple iikua option ya kununuliwa IMac
ila nika suggest hii 7bu moja wapo ni ambayo ni binafsi tu mwenyewe kutaka kuona performance ya CHIP mpya za APPLE na unafuu wa bei 7bu tulimuagiza mtu hivyo tulisave zaidi ya laki 7 ya shipping VAT nk aliibeba km device yake
na ndio zilikuwa latest wakati tunataka kuaagiza tulitumia mtu ela alikuwa USA alikuwa anakuja huku akatununulia kwenye store za APPLE akaja nayo sasa
wewe unaniambia ni ya 2017 mwaka huo sasa chip za APPLE za M1 zilikuwa tayari kwani kwa macbook pro
wkt laptop yangu na ndio naijua na nipo nayo hapa ofisini kila siku
hiyo macbook pro 2021 nimeangalia released date yake wkt naagiza zilikuwa hazijatoka na ndio mana hazikuwepo kwenye website zao na kwa mujibu wa link yko maelezo wamerudisha magsafe hdmi na sdcard slot USB port hawajarudisha
hii picha nilipiga leo mchana
kesho nitapiga full nitakuonesha
View attachment 2104461
Hii yako ni version ya 2017 ila umeinunua 2020, ambayo ina thunderbolt ports.

Ninayokuambia mimi ni version ya 2021, watu wameanza kuzipata kuanzia October 2021.

Ina 3 thunderbolt ports, hiyo touchbar imeondolewa, zimerudishwa zile function keys.
 
dah ndugu wewe unaangalia mtandaoni
wakti mimi ninayo PHYSICAL hapa
mkuu hii ni macbook pro 13" 2020 siyo version ya 2017
na haijanunuliwa 2020
imenunuliwa mwaka jana 2021 mwezi wa 8 au wa 9 mwanzoni dukani kabisa APPLE STORE USA
hadi kufika huku bongo kwa mtu tulomuagiza akaja nayo ilifika NOVEMBER 2021 iko full BOX

narudia tena hii ina M1 chip
CHIP mpya za apple kwa macbook pro zimeanzia za mwaka 2020 sijui unanielewa hapo mkuu
na 7bu ya kuichagua hii ni kutaka kuangalia perfomance ya chip mpya za APPLE

sasa hiyo 2017 M1 chip hazikuwa bado kuwekwa kwenye macbook pro
na version ya 2017 ni old sana
yaan KAMPUNI imetoa pesa inunuliwe MACBOOK Pro mpya ilikuwa 2021 halafu mm ninunue ya 2017 si ujinga mkuu wakati umeulizwa shi ngapi ukasema bei mana hii niliwaonesha kwenye website ya APPLE ukakatiwa fungu lako haya kanunue

sasa mmoja wa wafanyakazi ndugu yke alikuwa USA anakuja tukaona tukimuagiza tutasave ela basi tukamtumia yeye aktununulia aktuletea

Sipo offisini ila ningekuwa offisini ningeipiga picha FULL nikaiweka hapa na details zake uone vizuri

ni MACBOOK PR0 13" mid 2020
 
Back
Top Bottom