Kwanini kamati ya maadili ya bunge kila ikimuita mtu lazima imkute na hatia? This is ridiculous! Kuna haja gani ya kumuita kama Spika ameshaamua!

Ikitotanzira

Member
Feb 12, 2019
24
151
Kamati ya maadili haina maana tena. Ili inafanya kama Mahakama na mahakamani mtuhumiwa anaweza shinda au kushindwa.

Sasa sijawahi kuona mtu anaitwa halafu anashinda, sasa ile ni kamati ya maadili kweli au ni rubber stamp tu ya Ndugai?
 
Back
Top Bottom