Kwanini kama serikali ni ya kidikteta kweli isiwakamate viongozi wa UKUTA?

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,998
5,131
Wasalam?

Ni muda sasa tangu CDM watangaze oporeshen ya kupinga udikteta unaofanywa na mtukufu rais wa taifa letu. Nilikua namsikia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi aliongea maneno ya busara, kuwa " Pande zote mbili (yaan serikal na upinzan)wakae chini wayamalize kuliko kujiingiza katika machafuko" ambayo police na wananchi ndio watakaopambana huku wale walioanzisha mapambano hayo watakua hawapo kwa kutimkia wanapopajua wenyewe, na athari yake itakuwa kwa wananchi walala hoi, Alipoanza kuongea msajili wa vyama nikajua anatoa onyo kwa CDM kwamba kwa mujibu wa sheria na mamlaka aliyopewa angeweza kufanya lolote kama CDM wataenda kinyume na makubaliano lakin kumbe siyo, Mzee aliongea kwa hekima na busara zote.

Na kuna mtu mmoja alikua anaongea kuwa hali ya sasa, Tz sio shwar, tulishuhudia na kusikia vituo vya polisi vikiporwa silaha na nying hazikupatikana, Kauli za viongoz wa CDM kuwa wako tyr kwa lolote bado ni tata. Mpambanaji na bondia Fransic Cheka aliwai kusema anaogopa sana kupambana na mtu ambaye hajawai kupigana ngumi hata siku moja, aliyasema hayo baada ya Mh. Makonda kuomba pambano naye.

Vivyo hivyo kwa jeshi la polisi limekua katika mazoez makali takriban nchi nzima wanajiandaa kupambana na watu ambao hawajui wamejipanga na silaha gani, ingawaje wengi tunaamin wananchi hawana silaha , ni kweli hilo lakin watakao kuwepo ni weng ambao hata wengine sio raia wa tz huenda wakawa ni wakimbizi ndio wakatumia mwanya huu, silaha zilizoporwa muda wake ndio huu kutumika.

Wito wangu,
Kama kweli wanasema ww ni dikteta mheshimiwa naomba uwakamate hao viongoz waliojiandaa kwa mapambano kuliko kukamata na kupiga raia wanaohamsishwa na viongoz wao. Tena tayar viongoz wanajulikana wamegawnywa kikanda naomba uanze nao hao hao,

NAWASILISHA, NIPO TAYARI KUTUKANWA.
 
Futa huu uchafu wako apa
 
katiba.jpg
 
Ukiona unatishwa tuu na serikali yeyote bila kukukamata na kukufungulia mashtaka kuwa umevunja sheria au unakusudia kuvunja sheria, Ujue wanataka wakujaze hofu ili uogope kudai
haki yako ya kikatiba uliyo nayo

Ndio mana wenye Akili tunajua nini kinaendelea hapa nchini.

Kama watu wametangaza kuvunja sheria tena wazi wazi mbele ya vyombo vya habari kwa nini usiwakamate hao wachache tuu bila gharama kubwa kufanya mazoezi ya kivita wakati mnajua wanakaa wapi na ofisi zao zilipo

Kama wakina Mbowe wachache hivyo mnawagwaya kuwakamata mpaka mfanye mazoezi barabarani sasa wanaume tukija na mziki mnene Septemba Mosi huo muda wa mazoezi hatuta wapa kabisaa .

Sio vizuri kutumia jeshi kutisha wananchi kwa kuwa likizoeleka hivyo basi wananchi watalilenga moja kwa moja kama adui yao.
 
M
Wasalam?

Ni muda sasa tangu CDM watangaze oporeshen ya kupinga udikteta unaofanywa na mtukufu rais wa taifa letu. Nilikua namsikia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi aliongea maneno ya busara, kuwa " Pande zote mbili (yaan serikal na upinzan)wakae chini wayamalize kuliko kujiingiza katika machafuko" ambayo police na wananchi ndio watakaopambana huku wale walioanzisha mapambano hayo watakua hawapo kwa kutimkia wanapopajua wenyewe, na athari yake itakuwa kwa wananchi walala hoi, Alipoanza kuongea msajili wa vyama nikajua anatoa onyo kwa CDM kwamba kwa mujibu wa sheria na mamlaka aliyopewa angeweza kufanya lolote kama CDM wataenda kinyume na makubaliano lakin kumbe siyo, Mzee aliongea kwa hekima na busara zote.

Na kuna mtu mmoja alikua anaongea kuwa hali ya sasa, Tz sio shwar, tulishuhudia na kusikia vituo vya polisi vikiporwa silaha na nying hazikupatikana, Kauli za viongoz wa CDM kuwa wako tyr kwa lolote bado ni tata. Mpambanaji na bondia Fransic Cheka aliwai kusema anaogopa sana kupambana na mtu ambaye hajawai kupigana ngumi hata siku moja, aliyasema hayo baada ya Mh. Makonda kuomba pambano naye.

Vivyo hivyo kwa jeshi la polisi limekua katika mazoez makali takriban nchi nzima wanajiandaa kupambana na watu ambao hawajui wamejipanga na silaha gani, ingawaje wengi tunaamin wananchi hawana silaha , ni kweli hilo lakin watakao kuwepo ni weng ambao hata wengine sio raia wa tz huenda wakawa ni wakimbizi ndio wakatumia mwanya huu, silaha zilizoporwa muda wake ndio huu kutumika.

Wito wangu,
Kama kweli wanasema ww ni dikteta mheshimiwa naomba uwakamate hao viongoz waliojiandaa kwa mapambano kuliko kukamata na kupiga raia wanaohamsishwa na viongoz wao. Tena tayar viongoz wanajulikana wamegawnywa kikanda naomba uanze nao hao hao,

NAWASILISHA, NIPO TAYARI KUTUKANWA.

Mburula utawajua tu kwa kauli na matendo yao!! Bs
 
Unapowanyima watu Uhuru wao wa haki kikatiba kwako wewe huo sio udikiteta? Unadhani kuandamana au kufanya mikutano CDM wamekurupuka kiasi ambacho wamekiuka sheria mama ya nchi? Ni nani aliyevunja katiba ya nchi baina ya CDM na His Excellency the Head of State?
 
Back
Top Bottom