Kwanini JWTZ hawakuzunguka maduka ya kubadili fedha za kigeni yaliyoko Mwanza na Dar es Salaam?

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,364
33,003
Katika mikoa ambayo imekuwa victim wakubwa wa siasa za awamu ya Tano ni hii ambayo inaitwa "Mikoa ya Kaskazini" wengi najua mnaifahamu.

Jana wapiganaji wetu wa JWTZ wamepewa amri kuzingira maduka ya kubadili fedha yaliyoko Arusha, ikumbukwe tu kuwa uchumi wa Arusha na Kilimanjaro unategemeana sana. Kwa maana sehemu moja ikiharibika kote kunakuwa kumeharibika.

Maduka ya kubadili fedha Tanzania hayapo Arusha peke yake. Yapo Dsm, Mwanza,Dodoma na hata Iringa. Lakini bwana mkubwa alipotaka kuonesha umwamba wake ameamua kuufanyia Arusha.

Mimi nauliza kwa nini bwana mkubwa kaamua kuzikomoa bureau de change za Arusha na siyo Mwanza?
 
Arusha ni ya Waarusha, wee ni muhamiaji tu, na wala siyo kwenu, Waarusha wenyewe original siyo Lema wala chadema, sema wamezidiwa idadi na Wahamiaji tu kutoka Mikoa jirani, lkn Waarusha haswa siyo chadema, nina ndugu zangu huko Arusha na hakuna chadema hata mmoja!
 
See below!

1542814647452.png
 
Arusha ni ya Waarusha, wee ni muhamiaji tu, na wala siyo kwenu, Waarusha wenyewe original siyo Lema ni CCM, sema wamezidiwa idaidi na Wahamiaji tu kutoka mikoa jirani, lkn Waarusha haswa siyo chadema, nina ndugu zangu huko Arusha na hakuna chadema hata mmoja!
Hapo umefeli mzeee
mimi ni muarusha original (bi mkubwa wa sanawari na mzee wa kwamrefu) ila ccm sitaki hata kuisikia
 
Arusha ni ya Waarusha, wee ni muhamiaji tu, na wala siyo kwenu, Waarusha wenyewe original siyo Lema wala chadema, sema wamezidiwa idadi na Wahamiaji tu kutoka Mikoa jirani, lkn Waarusha haswa siyo chadema, nina ndugu zangu huko Arusha na hakuna chadema hata mmoja!
Duuh!!aiseee
 
Mbona povu ndugu! Tuelezee basi hao unaodhani ndiyo wenye "arusha yao ".
 
Hapo umefeli mzeee
mimi ni muarusha original (bi mkubwa wa sanawari na mzee wa kwamrefu) ila ccm sitaki hata kuisikia

Waarusha City kwanza wengi wao ni Waislamu, na hawawezi kuipigia kura chadema, labda CUF, wengi wenu wahamiaji tu lkn mnajifanya waarusha!
 
Mbona povu ndugu! Tuelezee basi hao unaodhani ndiyo wenye "arusha yao ".

Waarusha ni Waarusha hata ukiwaona tu utawajua, kuanzia kuongea hadi muonekano, na Lema hawezi kuwa Muarusha labda kama kachanganyika!
 
Itakuwa huko Arusha kwenye ule usajili waliotakiwa kuunga juhudi waligoma na wao wana viduka vyao huko.
 
Kuna baadhi ya watu wanataka kuiteka Arusha City kuigeuza ya kwao, wakati siyo kweli, Arusha City ni ya Waarusha!
Na mimi naona kuna baadhi hukwepa hoja kwa kukimbilia ukabila na ukanda .

Muuliza swali kauliza kwanini maduka ya kubadilisha fedha ktk majiji mengine makubwa hayakuzingirwa na walinzi wetu ?!

Hakuuliza asili ya watu wa Arusha. Hata DSM wazaramo hawafiki hata robo, sembuse na Arusha !!
 
Hoja kioja,zoezi limefanyika arusha lkn maamuzi yatajumuisha nchi nzima! Nchini arusha kilamtu anajua ndiyo mji wa watalii wengi nahivyo ubadilishaji fedha ni mkubwa. Tusiruhusu mawazo hasi
 
Na mimi naona kuna baadhi hukwepa hoja kwa kukimbilia ukabila na ukanda .

Muuliza swali kauliza kwanini maduka ya kubadilisha fedha ktk majiji mengine makubwa hayakuzingirwa na walinzi wetu ?!

Hakuuliza asili ya watu wa Arusha. Hata DSM wazaramo hawafiki hata robo, sembuse na Arusha !!

Nani aliyekwambia Dar ni ya Wazaramo? Wazaramo kwao Maneromango Kisarawe, huko.
 
Back
Top Bottom