johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,856
Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara.
Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere.
Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili kukitakasa chama na tuhuma za mara kwa mara za ufisadi na unyang'au. Mbona hatusikii Bawacha, Bavicha au Ngome ya Vijana ACT wakitajwa kila siku ni UVCCM na Wazaxi tu!!!
Mnakera sana bhana.
Maendeleo hayana vyama!