Kwanini JK Hakwenda China?

Gigo

JF-Expert Member
Aug 6, 2006
456
46
Nilivutiwa sana nafunguzi wa Mashindano ya Olympic!!!!
Leo tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 2008..Huko China..

Bush..Raisi wa Marekani alikuwepo! Raisi wa Congo alikuwepo,!!!...
Raisi wa Ufaransa alikuwepo ......Shangaa... ati Jakaya Mrisho Kikwete Hakuwepo!!!!....Hii ni nini?.....

Nilipoteza muda Mwingi Kwenye TV nikisubiri Nchi nyangu Tanzania ionekane....Nione Timu ya Olympic Ya Tanzania nayo ina ingia na inatambulishwa kwamba nayo ipo!!!! huku nikibashili labda na JK yupo!!

Muda ulipo zidi kwenda nilichoka...lakini nilitania...kwa kusema Nchi zipo nyingi...nafikiri Tanzania itambulishwa kesho!!!.....!!mara nikaona Rwanda Burundi....Uganda.......Ke.... oh! Tanzania nafikiri nipo sawa!! kwasababu si muda mrefu nikawaona Kenya!!...

Kabila wa Congo nilimuona...wengine wa Africa nafikiri hata nyie Mliwaona!! lakini JK sikumuona!!

Nchi zilikua nyingi hata Nyigine nilikua sizijui na ni kama inakua mara yangu ya kwanza kuifahamu inchi hiyo!!- Labda Mama Muheshimiwa Asha Rose Mingiro anazijua zote!! hiyo na iwe ni msaada kwangu kujitetea kwamba hata Mimi nazijua nchi zote Duniani...Ukizingatia Mama yangu ni Naibu katibu Mkuu wa Umoja wamataifa!!

Mwishoe nika Gungua Muheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho kikwete alikuwepo Dodoma,.... Kwenye ufunguzi muhimu wa maonyesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa pale Dodoma ....

Hata hivyo Lazima niseme na niulize hivi!!- Je ile kazi iliyofanywa pale Beijing China ....Mliiona-? Kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Olympic kweli Wachina walijipanga!...Hata sisi tunatakiwa tujipange tupangike!!!na tuonyeshe kwenye maonesho ya Nane nane ya Kitaifa kwa miaka yote inayo kuja.......

Nashindwa Kumlaumu mtu..Kwasababu hata mimi bado sijawa na uwezo wa hata Kushiriki maonyesho ya Nane Nane!!!

Lakini nilipata muda wa kukaa na kuangalia TV live kutoka China!! Kupitia TV ya Taifa TBC....ufunguzi wa mashidandano ya Olympic!!! nilishagaa...

Likini cha ajabu medali hazita chagua unatoka wapi..ila zitachagua zielekee wapi!!!...Na nani alifika na nani hakufika!!....Hilo sio swali!!!...kwasababu jibu linatokana na sababu!!...

Miundominu ya viwanya vya Nane nane vya Nzuguni Dodoma iboleshwe..kwa Ghalama ya juu zaidi....Hatuna haja ya kusuasua!!

Eti hata Magufuli Nae hakwenda hakwenda Beijing...alikuwepo Dodoma na alifanya ziara... Ziara yakuvutia zaidi pale Nzuguni Dodoma !! na Ndipo pale alipo kua akiendelea Kutaja hovyo hovyo idadi ya Kuku...Bata Mziga...na Kondoo waliopo Tanzania...huku akishindwa kufanya sensa ya samaki waliopo katika kipindi hiki kigumu cha bajeti cha 2008/2009

Asanteni viongozi wa Africa !!
 
Raisi Ana Olypic Ya Kutosha Nyumbani Kiasi Namuunga Mkono Kuto Kwenda,mala Swahiba Yake Kaushwa Na Rada,mala Msiba Wa Chadema Mikononi Mwa Ccm, Mala Ttcl Yageuzwa Shamba La Bibi,so In His Plate He Have Alot So,sithani Kama Anastaili Kwenda Kutalii China.
 
Angeenda ungefungua thread "Jk kazidi na safari za nje"
 
Olympic Games, international athletic competition, held every four years at a different city site. A modified revival of the Olympian Games, the Olympic Games were inaugurated in the spring of 1896, largely through the efforts of the French sportsman and educator Baron Pierre de Coubertin. This competition evolved into the Summer Olympics- AND THOSE BUSH, SACOZZ ECONOMICAL ARE SUMMER AND KIKWETE AND TANZANIA ARE STILL IN WINTER ECONOMICALY SO MAY HE WILL ATTEND THE WINTER OLYMPIC.
 
Nilivutiwa sana nafunguzi wa Mashindano ya Olympic!!!!
Leo tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 2008..Huko China..

Bush..Raisi wa Marekani alikuwepo! Raisi wa Congo alikuwepo,!!!...
Raisi wa Ufaransa alikuwepo ......Shangaa... ati Jakaya Mrisho Kikwete Hakuwepo!!!!....Hii ni nini?.....

Nilipoteza muda Mwingi Kwenye TV nikisubiri Nchi nyangu Tanzania ionekane....Nione Timu ya Olympic Ya Tanzania nayo ina ingia na inatambulishwa kwamba nayo ipo!!!! huku nikibashili labda na JK yupo!!

Muda ulipo zidi kwenda nilichoka...lakini nilitania...kwa kusema Nchi zipo nyingi...nafikiri Tanzania itambulishwa kesho!!!.....!!mara nikaona Rwanda Burundi....Uganda.......Ke.... oh! Tanzania nafikiri nipo sawa!! kwasababu si muda mrefu nikawaona Kenya!!...

Kabila wa Congo nilimuona...wengine wa Africa nafikiri hata nyie Mliwaona!! lakini JK sikumuona!!

Nchi zilikua nyingi hata Nyigine nilikua sizijui na ni kama inakua mara yangu ya kwanza kuifahamu inchi hiyo!!- Labda Mama Muheshimiwa Asha Rose Mingiro anazijua zote!! hiyo na iwe ni msaada kwangu kujitetea kwamba hata Mimi nazijua nchi zote Duniani...Ukizingatia Mama yangu ni Naibu katibu Mkuu wa Umoja wamataifa!!

Mwishoe nika Gungua Muheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho kikwete alikuwepo Dodoma,.... Kwenye ufunguzi muhimu wa maonyesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa pale Dodoma ....

Hata hivyo Lazima niseme na niulize hivi!!- Je ile kazi iliyofanywa pale Beijing China ....Mliiona-? Kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Olympic kweli Wachina walijipanga!...Hata sisi tunatakiwa tujipange tupangike!!!na tuonyeshe kwenye maonesho ya Nane nane ya Kitaifa kwa miaka yote inayo kuja.......

Nashindwa Kumlaumu mtu..Kwasababu hata mimi bado sijawa na uwezo wa hata Kushiriki maonyesho ya Nane Nane!!!

Lakini nilipata muda wa kukaa na kuangalia TV live kutoka China!! Kupitia TV ya Taifa TBC....ufunguzi wa mashidandano ya Olympic!!! nilishagaa...

Likini cha ajabu medali hazita chagua unatoka wapi..ila zitachagua zielekee wapi!!!...Na nani alifika na nani hakufika!!....Hilo sio swali!!!...kwasababu jibu linatokana na sababu!!...

Miundominu ya viwanya vya Nane nane vya Nzuguni Dodoma iboleshwe..kwa Ghalama ya juu zaidi....Hatuna haja ya kusuasua!!

Eti hata Magufuli Nae hakwenda hakwenda Beijing...alikuwepo Dodoma na alifanya ziara... Ziara yakuvutia zaidi pale Nzuguni Dodoma !! na Ndipo pale alipo kua akiendelea Kutaja hovyo hovyo idadi ya Kuku...Bata Mziga...na Kondoo waliopo Tanzania...huku akishindwa kufanya sensa ya samaki waliopo katika kipindi hiki kigumu cha bajeti cha 2008/2009

Asanteni viongozi wa Africa !!

Na mimi nashangaa sana, huyu bwana ni gold digger/mchimba dhahabu, kila leo utasikia kaenda Japan/Marekani/German/ etc kuchimba dhahabu/omba omba, na kule kwenye Olympic kulikuwa na medani za dhahabu nyingi sijui ni kwa nini hakwenda kuchimba uko kwenye olympic.
 
Entourage yake ingezidi ile ya wanamichezo(joking) na kama kawaida tungeaza kakimbia maonyesho ya nane nane ooh mara hakwenda kwenye mazishi and blah blah...
 
Back
Top Bottom