Elections 2010 Kwanini JK hakutaka kupoteza jimbo la Kibaha Mjini?

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa
 
Chadema Ofisi kuu wafuatilie kujua kulikoni!! ili kupata matokeo toka kila kituo..
 
Kibaha si CCM wameshinda au unazungumzia jimbo gani? Hizo pesa zinatolewaje maana hata kama ni hundi maximum ni 10 million, kama ni TT, kuna swala la Money Laundering. Habari za kununuliwa si kweli
 
wanajua kitachofuata ikiwa watashindwa makao makuu ya mkoa wa pwani... sasa hivi pengine itakuwa too late maana mawakala wote tayari wamekwisha nunuliwa...
 
Kibaha si CCM wameshinda au unazungumzia jimbo gani? Hizo pesa zinatolewaje maana hata kama ni hundi maximum ni 10 million, kama ni TT, kuna swala la Money Laundering. Habari za kununuliwa si kweli

Wameshinda kwa ki halali au kwa kuchakachua vile......kama ni kwa kuchakachua pesa yaweza kutolewa kumzuia jamaa wa Chadema asiende Mahakamani................................
 
Kaka Vincent Augustino, sio mpaka upate taslim. Ahadi zinawezekana na zinafanyika.
Lisemwalo laweza kuwa kweli.
 
Huyo si mwanafunzi huo muda wa mahakamani na masomo anao?
 
Kaka Vincent Augustino, sio mpaka upate taslim. Ahadi zinawezekana na zinafanyika.
Lisemwalo laweza kuwa kweli.

Kwa mahesabu yangu, Mbunge kwa mwezi anapata si chini ya 12 million (pamoja na posho za vikao vya kamati mbali mbali)
kwa mwaka ni sawa 144 million na kwa miaka mitano ni 720 million. Mtu mwenye akili timani hawezi kuacha hii kazi kwa ahadi haramu ya rushwa
 
Wahonge lakini wajue kuwa nguvu ya umma bado itaendelea kuwaumbua na kuwasumbua siku zote
 
Kwa mahesabu yangu, Mbunge kwa mwezi anapata si chini ya 12 million (pamoja na posho za vikao vya kamati mbali mbali)
kwa mwaka ni sawa 144 million na kwa miaka mitano ni 720 million. Mtu mwenye akili timani hawezi kuacha hii kazi kwa ahadi haramu ya rushwa

Ukiachia lazima utakuwa punguwani wa akili
 
yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa

Mwongo wewe.Punguzeni uswahili,naona hizo story hazisaidii tena kwa sasa
 
Dogo wa Chadema alikubalika sana kule. Yule Sylvester Koka kuna hata sehemu alikuwa anaenda mikutano anafanyiwa fujo kabisa ngumu zinachapwa na ssm wenyewe. Dogo alikuwa anaongoza baadaye kibao kikageuka ghafla!!! Mawakala njaa. Chaguzi zijazo ninaomba nishiriki kampeni strategy ya Chadema, hasa kwenye issue ya uwakala na kura!!!
 
Brother JK anaweza fanya hivyo.Anajua anchokihitaji,tena kwa udi na uvumba.Mza amefika baada ya kuona aliyoyaona akaona uchakachuaji ungekuwa mgumu au jiji lingewaka moto kwa vurugu na kashfa ingekuwa kubwa.Akawahi Shy na matokeo yaliyokwishatangazwa yakabadilishwa na kutangzwa tena kwa maana ya kwamba 'eti' hyalikosewa.
mCHADEMA amegoma kukubaliana ana mpango wa kukata rufaa-Kila kitu kipo wazi.
Fisadi anweza kufanya chochote!!!
 
Kibaha si CCM wameshinda au unazungumzia jimbo gani? Hizo pesa zinatolewaje maana hata kama ni hundi maximum ni 10 million, kama ni TT, kuna swala la Money Laundering. Habari za kununuliwa si kweli

Ndugu yangu, hivi kwa watu wanao operate ki- mafia ni kitu gani kinawashinda?
These guys operate outside the law, maana wanajifanya wako juu ya sheria. MD wa benki kuagizwa na state house atoe 1 billion kwa hawa mafia atapinga?
 
yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa

KOKA KAFADHILIWA NA LOWASA ILI AINGIE BUNGENI KUONGEZA IDADI YA KURA ZA USPIKA ANAOTAKA KUGOMBEA LOWASA...IN THIS IS THE FACT FROM THE STATE HOUSE...:A S cry:
 
Kibaha si CCM wameshinda au unazungumzia jimbo gani? Hizo pesa zinatolewaje maana hata kama ni hundi maximum ni 10 million, kama ni TT, kuna swala la Money Laundering. Habari za kununuliwa si kweli

Hii money laundering haikuwepo wakati wa EPA? Mbona watu walichukua mabilioni in cash? Au hauna habari na hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom