Kibaha si CCM wameshinda au unazungumzia jimbo gani? Hizo pesa zinatolewaje maana hata kama ni hundi maximum ni 10 million, kama ni TT, kuna swala la Money Laundering. Habari za kununuliwa si kweli
Wameshinda kwa ki halali au kwa kuchakachua vile......kama ni kwa kuchakachua pesa yaweza kutolewa kumzuia jamaa wa Chadema asiende Mahakamani................................
Kaka Vincent Augustino, sio mpaka upate taslim. Ahadi zinawezekana na zinafanyika.
Lisemwalo laweza kuwa kweli.
Kwa mahesabu yangu, Mbunge kwa mwezi anapata si chini ya 12 million (pamoja na posho za vikao vya kamati mbali mbali)
kwa mwaka ni sawa 144 million na kwa miaka mitano ni 720 million. Mtu mwenye akili timani hawezi kuacha hii kazi kwa ahadi haramu ya rushwa
yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa