Kwanini JK anajaribu kujisafisha yeye na serikali yake kuhusu Dr. Ulimboka wakati uchunguzi bado?

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
Unajua mtu mwizi ukimuangalia tu usoni utamjua mwangalie macho tu utaona unafiki wake


huyu jamaaa anakuwa na ujasiri gani kujaribu kujisafisha yeye na serikali yake wakati
uchunguzi bado?

Hebu jiulizeni wananjamvi huyu jamaa yuko focused kweli au amechanganyikiwa na kwa siri yake kufichuka from this failed assassination.....


Am just thinking
 
Back
Top Bottom