Kwanini jeshi la Iran halikuweza kuziona ndege za Marekani zilizomuua Soleiman?

Huyo gaidi kamalizwa kiulaini tu kwa High-tech. Duh Altitude ya 50,000 ft ni zaidi ya 13,000 metres.

Sijui ni ndege zipi zinazoruka kwenye hiyo Altitude. Hiyo Drone nafikiri ni the ultra modern and very sophisticated na huyo Suleimani labda ndio ameibikiri na kwenda nayo mzima mzima.
 
Wala so drone mpya hiyo br. I'll mda mrefu on combat miaka kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mq9 reaper ilishushwa na electronic warfare za Iran 2013 global hawk downed in 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemea RQ-170 Sentinel ambayo ilishushwa mwaka 2011 kisha baadaye Iran ikaitengenezea copycats.

Iran iliishusha ile drone mwaka 2011 kwa kutumia mfumo wa 'Avtobaza' (Russian Avtobaza-M Electronic Intelligence System).

MQ-9 Reaper ni ndege nyingine tofauti na hiyo RQ-170 Sentinel unayoizungumzia.
 
Tena hii Sentinel ni stealth hivo ndo ngumu zaidi kudetect ukizingatia pia yenyewe ni recon drone. Afu Iran washawahi lipukiwa na drone ya Israel waliyoikamata Lebanon wakishirikiana na Hezbollah.
 
Unasemea RQ-170 Sentinel ambayo ilishushwa mwaka 2011 kisha baadaye Iran ikaitengenezea copycats.

Iran iliishusha ile drone mwaka 2011 kwa kutumia mfumo wa 'Avtobaza' (Russian Avtobaza-M Electronic Intelligence System).

MQ-9 Reaper ni ndege nyingine tofauti na hiyo RQ-170 Sentinel unayoizungumzia.
Semeni ukweli kama alitungua kwa mifumo yake ya KIIRANI Wivu Na Roho Mbaya Vitawaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kwa wajuzi wa mambo,nimekuwa najiuliza kwanini Jeshi la Iran lilishindwa kuzuia mauaji ya General wao Suleiman yaliyotekelezwa na Ndege za Marekani? Ina maana Jeshi la Iran ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuziona Ndege za Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali LA kitoto sana Ata mtoto WA nursery hawezi uliza Pumba hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom