Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Una zani hata huku Tz hawaendi missions? Hawaendi mafunzo?
 
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Alohusika na opp entebe na pm wa israel ni mtu na kaka siyo mtu mmoja
 
View attachment 1784987
Moshe Dayan Mzee wa kijicho kimoja, alikua hatari sana huyu mwamba..!!!
Huyu katokea kwenye kikundi cha Haganah. Hivi Hamas na Hezbollah vinavyoitwa vikundi vya magaidi, hata Israel miaka ile haina territory rasmi ilikuwa na kikundi cha kigaidi kwa mantiki hii ndicho Haganah. Hilo kundi ndio lilikuja kuwa jeshi la Israel baada ya kutangazwa kuanzishwa kwa taifa hilo mwaka 1948.

Ile vita ya kwanza kabisa Moshe alishiriki, kipindi hawana marubani wa kutosha Wayahudi kutoka majeshi kadhaa ya kizungu wakaja kuunda air force personnel haraka. Moshe kapigana vita mpaka ya mwishoni dhidi ya Misri alipokuwa Defence Minister. That means kapigana vita muhimu zote za Israel, achana na dhidi ya hawa Hamas wenye maroketi yalitotengenezwa kwa kuchomelea mabati.
 
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Umechanganya mzee, aliyeshiriki ni kaka yake, na aliuawa.
 
Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.

Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)

Kwa nininiko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Muundo wa jeshi la Israeli siyo sawa na muundo wetu ambao tumeunganisha muundo wa Marekani na uingereza lakini tukaegemea marekani zaidi ya Uingereza

Jeshi la Uingereza huwezi kuwa Brigadier General kama huna brigade ya kuongoza au huna majukumu yanayolingana na hapo, marekani unaweza kuwa Brigadier general na kubaki Pentagon kwa mambo ya kiutawala hadi utakapopewa command. marekani na uingereza cheo cha juu cha kawaida ni 4-star General

Israeli wao muundo wao ni tofauti kabisa, kila cheo kina majukumu yake na cheo chao cha mwisho kabisa ni Luteni Generali, hawana cheo cha General au Marshal. Vyeo vyao kwa seniors officers ni Rav Aluf (Lt. Gen) , Aluf (Maj Gen), Tal Aluf (Brig. Gen.) Aluf mishne ( Brig or Col), Sgan aluf (Lt. Col) na Rav seren (Maj). Kwa hiyo Lt Gen ni cheo cha juu sana sawa na general wetu. Ni wachache waliowahi kufikia vyeo hivyo kwani hata Ariel Sharon alikuwa Major General tu. Kwenye jeshi la Israeli huwa kuna Lt. Gen mmoja tu kila wakati ambaye ndiye mkuu wa majeshi.
 
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Mkuu aliekuwepo kwenye operation entebe ni Yonathan Netanyahu ambeye ni Kaka yake Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa sasa na Kaka yake huyo alifia entebe uwanja wa ndege pale wakat wakiwa washawaokoa mateka wao alikuepo Askari mmoja alikua kwenye control tower ya uwanja hawakumuona ndo akamshut jamaa that's why Ile operation walikuja kuipa jina operation Yonathan kumuenzi
 
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Kaka yake Jonathan siyo Ben ....na alikufa
 
Huyu katokea kwenye kikundi cha Haganah. Hivi Hamas na Hezbollah vinavyoitwa vikundi vya magaidi, hata Israel miaka ile haina territory rasmi ilikuwa na kikundi cha kigaidi kwa mantiki hii ndicho Haganah. Hilo kundi ndio lilikuja kuwa jeshi la Israel baada ya kutangazwa kuanzishwa kwa taifa hilo mwaka 1948.

Ile vita ya kwanza kabisa Moshe alishiriki, kipindi hawana marubani wa kutosha Wayahudi kutoka majeshi kadhaa ya kizungu wakaja kuunda air force personnel haraka. Moshe kapigana vita mpaka ya mwishoni dhidi ya Misri alipokuwa Defence Minister. That means kapigana vita muhimu zote za Israel, achana na dhidi ya hawa Hamas wenye maroketi yalitotengenezwa kwa kuchomelea mabati.
Siyo Haganah peke yake kulikuwa pia na Palmach na vingine.
 
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Hayo unayosema yako sawa mkuu ila ntaka kukukosoa kidogo tu. Aliyeshiriki Operation ya Entebbe ni kaka yake mkubwa Benjamin Netanyahu aitwaye - Yonatan Netanyahu(Lieutenant Colonel). Yeye ndiye alikuwa commander wa ile spec ops team iliyoenda Uganda na ni yeye pekee yake aliyepotea maisha siku hiyo.

Benjamin alikuwa commander wa kikosi cha spec ops kingine kichoshiriki operations kama - Operation Gift, Operation Isotope, War of Attrition nk. Na alikuwa honorably discharged akiwa na rank ya Captain.
NB:Both Benjamin and their younger brother, Iddo Netanyahu, served in Sayeret Matkal too.
 
Back
Top Bottom