Kwanini JamiiForums isitumiwe na mastaa wa Bongo kama wanavyotumia Facebook, Instagram kuweka mawazo yao?

Kwasababu hizi

Mastaa wengi wa Tanzania wanawaza chupi na wowowo, mfano diamond ana mawazo gani chanya aliwahi kutoa yakakusisimua?
Joti au mpoki wana mawazo gani ambayo we unayakosa hapa?

Wolper na sepetu wana mawazogani chanya ambayo umeona umeyakosa hapa mpaka ukaomba uwepo wao,

Nakuambia kwamba hivo hujagundua kwamba wao wanaenda sehem ambayo itakuwa rahis kuuza miili yao kwa watu wanaojulikana,

Sasa unategemea wema alete shobo zake hapa kumpata BAK tindo Lizaboni Shark Malcom Lumumba Au kumpata nani hasa?

Maana hajui kipato chao wala sura, hajui cheo chao wala kazi,

Wanasema kuwa mjanja katika kuchagua soko, na wao soko lao haliko hapa
Ungeacha uninga kidogo ungejua diamond,joti & mpoki wamekupita kila kitu sasa jiulize ujinga wao ndo umesababisha wakupite au kuna kitu wanakijua wewe hukijui!na kama kuna kitu wanakijua maana yake wana elimu ya hicho kitu,elimu sio vyeti...natumaini utajifunza kujifunza
 
Mimi hunijui labda hao niwaajiri hakuna mtu pale wa kusema ana maendeleo zaid ya kukodi majumba na kuwahadaa watanzania kuwa ni ya kwao,

In short don't judge anyone you don't know,.per se, hahaha hao nisha wapa hata ajira nyuma
 
Tatizo ni elimu mzee. Humu JF usimchukulie mtu poa. Kitendo cha mtu kumili account JF tayar kasha elimikA. Sasa tatizo la wasanii wa bongo ni elimu ndogo waliyonayo na humu JF kila mtu ni mjuaji asikuambie mtu sasa hakuna msanii yupo tayari ku accept challangez kutoka kwa wana JF
 
Asante Kwa kukandamiza mkuu.

Jf si mchezo,ngumu sn kuielewa.Niliwahi mfundisha mtu mwenye MA(masters)alishindwa kuielewa na kuitumia.
 
Asante Kwa kukandamiza mkuu.

Jf si mchezo,ngumu sn kuielewa.Niliwahi mfundisha mtu mwenye MA(masters)alishindwa kuielewa na kuitumia.
Kuna jamaa zangu huwa nashare nao baadhi ua post hapa JF kwenye wutsup group jamaa wanaipenda sana JF wanataman kujiunga lakini nadhani system inazingua. Maana mtu anakuwa pending hata mwezi mzima hadi wanakata tamaa.

Nakbuka mm nimejiunga JF nikiwa mtoto mdogo sana hata miaka 18 nilikuwa sijafika enzi hizo namaliza form 4. Nimenufaika sana na hii JF hadi sasa nipo kitengo ma kazi nimepata kupitia hiihii JF maana nilikuwa nashinda jukwaa la Ajira na tenda baada ya kumaliza chuo hadi leo nakula maisha tuu nawasikiliza tu wanao ongea kuhusu vyuma mkazo
 
Nafikiri ni muda sasa JF nao wakatuonyesha statistics zao kuwa mtandao huu unawatumiaji wengi zaidi katika nchi za kiafrica, asia, ulaya na marekani.
Ukitazama utaona hata JF ipo facebook. Lakini facebook haipo JF.
JF jitutumue mzee baba.
 
Kwa kipindi kirefu nilikua najiuliza na kutamani mastaa kutumia mtandao wa JamiiForums
Nilipenda sana kuwaona kina;
@Alikiba
diamond platnumz
wema sepetu
shilawadu
@Mr blue

*@Rais wetu*

Na wengine wengi kwani hii ni moja katika njia ya kukuza lugha yetu pia na kufanya JF ya kimataifa zaidi
Pia mastaa hao wapewe blue tick kama mitandao mingine

Lakini mastaa wengi wamejikita Facebook, Instagram na Twitter ambapo inaendeshwa na wazungu jambo ambalo sio zuri ila labda nisiwalaumu pengine labda hawaijui Jamii Forums.

Ningetamani sikumoja wa Tz wote waachane na Fb na kujiunga huku JF ingependeza sana.

Nawasilisha OVA!
Mkuu umewahi kukaa na hao unaowaita mastar ukawasikiliza story na upeo wao!?.....hao watu wanatakiwa wakae wenyewe kwa wenyewe ndo wanawezana!..
 
Kitu tunachojidanganya wanJf ni kwamba jf inajulikana kwa karibu kila mtu Tz, kumbe ni kinyume kabisa. Wachache sana wanaijua, ukute jata hao uliowataja hawaijui.
naaam " ukiwa Humu waweza kuhisi Jf inajulikana kwa sehemu kubwa ya wana Jamii "" kumbe sio kweli
 
Back
Top Bottom