Kwanini JamiiForums isitumiwe na mastaa wa Bongo kama wanavyotumia Facebook, Instagram kuweka mawazo yao?

Jf hawaiwezi.

Huku siyo sehemu ya kupost picha na kuhesabu likes elfu 20 kwenye picha moja
 
Huku hakuna kuuza sura sasa watatumiaje kitu ambacho sura yako siyo jambo la msingi??!
 
Huku ni Kwa watu wenye akili kubwa sn.
Usiwachukulie poa watu wa jf ohooooo.Hao akili sifuri hawaiwezi hii
Unataka utuchanganye na watu kama hawa?
Acha kabisa Jf kuna wenyewe.
tapatalk_1525178094614.jpeg
 
huku hakuna show off " halafu wtu huwa wanalazimika kuongea vitu/kitu kwa fact "" huwezi kuthubutu kuwalisha matango pori wana JF halafu wakakuachia tu lazima wakuumbue "" utajuta kwanni uliingia kichwa kichwa " Humu hata ukipost kitu kwenye yale majukwaa ya umbea usishangae watakapo jitokeza watu wakukwambia kuwa wanataka evidence ama reference ""
JF ni makazi ya great thinkers akili ndogo not allowed here "" kina lemutuz wenyew wamepakimbia Humu ""
Le mutuz!!!!!
 
Back
Top Bottom