Kwanini Jaji Razia sheikh ajitoa kwenye kesi ya uvuvi haramu wa bahari kuu ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Jaji Razia sheikh ajitoa kwenye kesi ya uvuvi haramu wa bahari kuu ya Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ffoas, Mar 4, 2011.

 1. ffoas

  ffoas Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  je yaweza kuwa ni mbinu za kisiasa kuizima kesi hiyo?
   
 2. ffoas

  ffoas Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yaweza kuwa ni trik za kisiasa
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa nini unadhani hivyo,tafadhali elezea nimeshindwa kuungania chap chap
   
 4. ffoas

  ffoas Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nahisi inaweza kuwa hvyo na hasa tukiangalia diplomatic relations na watu wa nchi hizo waliotiwa mikononi mwa sheria,pia kutokana na hali kama hyo inaweza kuathiri fumo mzima wa kisheria kwenye ushughulikiaji wa kesi hiyo,thus why watuumiwa hao wanaraise allegations ya kutokuwa na imani na msimamizi wa kesi hiyo haliyejitoa na pia inanipa doubt mtu atakayechaguliwa kusimamia kesi hyo anaweza kuwa bias na kutosimamia vizuri kesi hyo kutokana na interest anayoweza kuwa nayo kwenye hiyo kesi,na hivyo kuliminya taifa kihaki.
   
Loading...