Kwanini iwe mwaka mpya?

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
680
627
Kila dakika, siku, week, mwezi, mwaka ni mpya sasa kwanini sherehe iwe kwa mwaka mpya tu tena kwa maandalizi makubwa yaani mtu unajiandaa kwa mwaka mpya na kuacha wakati uliopo upotee?!

Kuweza kuishi vizuri wakati uliopo kutakufanya usifikirie wakati uliopita wala wakati ujao na kila dakika unayoishi itakuwa mpya na ya thamani kwako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom