Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,185
- 8,453
Naombe msaada wa kujua hili
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa hawana cha kupoteza (rejea Vita vya mwaka 2006) japo walipoteza wapiganaji wengi kuliko Israel ila ilionekana kama vile IDF ilishindwa kufikia malengo yake.Hezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.
Daah hawa jamaa wame msaidia sana Asad.Uko sahihi mkuu, hawa jamaa hawana cha kupoteza (rejea Vita vya mwaka 2006) japo walipoteza wapiganaji wengi kuliko Israel ila ilionekana kama vile IDF ilishindwa kufikia malengo yake.
Ila Vita ya Syria vimeufanya mpaka wa Israel na Lebanon upumue kidogo maana Hizboullah ilienda kumuokoa Assad hivyo chokochoko zilipungua kiasi (japo haziwezi kumalizika).
Hezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.Naombe msaada wa kujua hili
Ukitaka kujadili kitu hakikisha unakuwa na ufahamu nacho na sio kukurupuka utaonekana kituko.Hezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.
Huu sasa ndio ule unaoitwa ujuaji!Uko sahihi mkuu, hawa jamaa hawana cha kupoteza (rejea Vita vya mwaka 2006) japo walipoteza wapiganaji wengi kuliko Israel ila ilionekana kama vile IDF ilishindwa kufikia malengo yake...
Ila Israel yenye waislamu takribani 1.4 million wanaogopa kufa?Hezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.
Hata hivyo sio lazima ya nchi husika kujihusisha moja kwa moja, pengine kundi hili lina mkono wa nchi za kiarabu maasimu wa Israel.Hezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.
Hezbollah ndani ya Lebanon Ni chama cha siasa chenye ushawish mkubwa na hata spika wa bunge la sasa la Lebanon anatokea hizbullahHezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.
Kama wa vietnam na ramboHezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.
Ni kikundi cha vuguvugu na ambacho hakiundi serikali, kwa maneno mengine, vitendo vya Hezbollah siyo vya kiserikali.Hezbollah ndani ya Lebanon Ni chama cha siasa chenye ushawish mkubwa na hata spika wa bunge la sasa la Lebanon anatokea hizbullah
Mkuu kwa haya unayo yaandika inaonesha kabisa wewe ni mweupe linapo kuja suala la siasa za mashariki ya kati.Ni kikundi cha vuguvugu na ambacho hakiundi serikali, kwa maneno mengine, vitendo vya Hezbollah siyo vya kiserikali.