chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Waulize Hezbollah..Allah ana chama ili iweje?!
Waulize Hezbollah..Allah ana chama ili iweje?!
Wanajiita jeshi la Mungu si kwa sabab Mungu kawatuma isipokuwa Kuna Jambo ambalo limehadithiwa kwenye Quran linalohusisha ushind wa jesh la Mungu ndio maana na wao wanajiita hivyo.Mungu hajatuma jeshi kwa Hezbollah..
HEZBO Maana yake Chama
ALLAH Maana yake Mungu..
Kwa Kiarabu
Hichi kikundi kina nidhamu ya juu,katika ukandaashariki ya kati
Hivi sasa WASAUDI tumbo joto,Kuondolewa Trump Madarakani kimewapa wasiwasi
Biden inasemekana atarudi mezani kiongea na IRAN kuongelea kuhusu mikataba ya silaha za Nuclear..
Trump alikataa kukaa mezani na IRAN
Trump wakati huohuo alijaribu kuleta vita na IRAN akashindwa
Trump alipomuua Qaseem Soleiman kamanda mkuu wa vikundi vilivyoanziswa na IRAN,makusudiio yake ilikiwani kuanzisha Vita na Iran..
View attachment 1629933
Sio kweli, hao mamluki wa Iran ndani ya Lebanon hawajawahi kuwashinda Israel.Israeli alichapwa na hezbollah mwaka 2006. Ndo maana anamuogopa.
Mwaka 2000,waliyatoa majeshi ya israel kutoka ardhi ya lebanonSio kweli, hao mamluki wa Iran ndani ya Lebanon hawajawahi kuwashinda Israel.
Waliondoka baada ya kulikalia hilo eneo kwa miaka 20.Mwaka 2000,waliyatoa majeshi ya israel kutoka ardhi ya lebanon
Kama marekani na vietnam tu,,wananchi wakaona vijana wanazidi kufa vitani,ushindi hamna,hali ngumu hela inaishia vitani,pull back..Waliondoka baada ya kulikalia hilo eneo kwa miaka 20.
Japo mashambulizi ya wanaharakati yalichangia kwa wao kuondoka ila hali ya kisiasa ndani ya Israel ilisukuma zaidi hilo.
...kama ndio hivyo nimekuelewa.Kama marekani na vietnam tu,,wananchi wakaona vijana wanazidi kufa vitani,ushindi hamna,hali ngumu hela inaishia vitani,pull back..
Ndo maana halisi ya kushindwa,,sio lazima waandamane wakilia na kupiga yowe,unapo retreat,maana yake umeshindwa
Sasa hezbullah,hawajawahi kushindwa,,lengo la kuundwa baada ya israel kuikalia lebanon 1980 ilikuwa ni kuikomboa lebanon,na lengo lilitimia mwaka 2000,...kama ndio hivyo nimekuelewa.
Unamaanisha unaweza kushinda mapigano lakini ukashindwa Vita..." You can win battles but ending up losing the war".
Yani mweupe kama tishu 😂😂😂😂 watu wana mpaka wawakilishi bungeniMkuu kwa haya unayo yaandika inaonesha kabisa wewe ni mweupe linapo kuja suala la siasa za mashariki ya kati.
Ahahahahaha bongo kila mtu anajuaHezbollah ndani ya Lebanon Ni chama cha siasa chenye ushawish mkubwa na hata spika wa bunge la sasa la Lebanon anatokea hizbullah
Ndo utaratibu,Ahahahahaha bongo kila mtu anajua
NewsHizbollah hawana serikali/dola na ni vigumu kuwaadhibiti. Uimara wa Hizbollah unatokana na udhaifu wa serikali ya Lebanon na kwa sababu hiyo hawawezi kuruhusu Lebanon iwe imara.
Kwa sababu hiyo ni vigumu na hatari kupambana na Hizbollah, ndio maana huwezi kupambana na Hizbollah bila kuiathiri Lebanon na watu wake maana huko ndimo makazi rasmi ya Hizbollah.
Vv
Sawa mkuu! Asante.Waulize Hezbollah..
SawaHezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.