Kwanini isifike WAKATI watanzania tukawa na mfumo wetu WA ELIMU WENYEWE?

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Walionzisha huo mfumo wetu wenyewe wanafanya UPDATE kila siku kwakuongeza specialization

kila ya kukicha mfano kuna kozi ya Degree inaitwa Front End Engineering ambayo ilikuwa sehemu ndogo sana ya
computer programming lakini sisi hatubadiliki jamani tusipo liangalia hilo swala tutabaki kununua zitokazo nje hatutengenezi chetu ng'oo

lakini juhudi zetu binafsi kunawatu wanaitumia hiyo course hapa nchini watu wa Tanzaniakwetu na Jigambeads
 
kaka sasa tukiwa na mfumo wetu wenyewe tutaweza hata kupata hizo fursa za kutoka nje ya mipaka ya Tanzania???........mifumo acha ifanane fanane na ya nje ili fursa ziwe pana zaidi.Na kwenye swala la hiyo course kuanzishwa nafikiri haiwezekani watu wakurupuke kuanzisha course ambayo haina maslahi au mahitaji.
 
Back
Top Bottom