Ndo inavokuaga sio ww tu lkn baada ua mda inarudi kawaida picha uliyoekaPicha za avatar hapo zina nichezea akili ndugu.. zinabadilika inatokea ambayo hata sijaiweka
Weee...full kuperuz yasiyokuhus mzeeKawaida sana iyo kitu kwa JF. Kuna siku Inbox ya financial services ilikuwa kwangu
SanaaaaaWeee...full kuperuz yasiyokuhus mzee
Haha..!!
yani ndio nshamaliza kazi yanguHaha..!!
Kwahiyo ndo ushamtag hivyoo??