Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Mitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo
Genius hajitambulishi kama ni genius bali watu ndo watamsoma ni genius, ukijiona wewe ni great thinker tambua una upeo mdogo sana wa kufikiri ila unajifananisha na mtu fulani ambaye anasomeka kuwa ni great thinker. Ubongo ulio empty ndio ucopy na kujifake kuwa someone else. Majority ya wanaojiita great thinker ni vilasa wajanja wajanja.
Utawasoma vipi? Ni wale wanaopenda kuwabeza wenzao na kuwaona vilaza.
 
Binafsi situmii mtandao wowote wa kijamii isipokuwa WhatsApp na JamiiForums.
Ila sizani kama mtu kutumia Instagram na Facebook ndio mizani ya kusema kuwa ana akili ndogo au uwezo mdogo wa kufikiri, au mtu kutumia Twitter na JamiiForums ndio mizani ya kumpima mtu kuwa ni great thinker.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa comments humu JamiiForums utagundua kuwa kuna baadhi ya watu hawapo vizuri au hawatumii lugha rafiki katika kutoa maoni, au uelewa wao juu ya jambo, au mitazamo yao juu ya threads(au mitazamo) za watu wengine bali wanatoa panics zao, frustrations zao na wengine hadi lugha zisizofaa.Kama kutumia JamiiForums ingekuwa ndio mizani ya mtu kuwa great thinker na mwenye fahamu iliyo timamu kichwani basi tusingekuwa tunayaona haya maana wote watumiao JamiiForums ni great thinkers na timamu haswa kichwani. Kwangu kutumia Twitter na JamiiForums sio mizani pekee ya kusema yule ni great thinker na kutumia Facebook na Instagram sio mizani ya kusema kuwa mtu ana uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Genius hajitambulishi kama ni genius bali watu ndo watamsoma ni genius, ukijiona wewe ni great thinker tambua una upeo mdogo sana wa kufikiri ila unajifananisha na mtu fulani ambaye anasomeka kuwa ni great thinker. Ubongo ulio empty ndio ucopy na kujifake kuwa someone else. Majority ya wanaojiita great thinker ni vilasa wajanja wajanja.
Utawasoma vipi? Ni wale wanaopenda kuwabeza wenzao na kuwaona vilaza.
Hujui hata maana ya great thinker wewe na hata definition ya genious hujui ka simple logic inakushinda ndo Mambo makubwa utayaweza
 
Unadhani kila mtu ni Mwanaume hapa, ukiambiwa hizi ni akili za kudanga utachukia
Wewe na uzee wote hujakua licha ya kuwa na wajukuu aisee unazeeka vibaya, vile ulizaliwa vilabu vya gongo Basi unawaza wote ni wakudanga Kama ulivopatikana kwa njia hyo
 
Sema
20210410_115658.jpg
20210410_115538.jpg
Screenshot_20210410-112008_Lite.jpg
Screenshot_20210410-111925_Lite.jpg
 
Sista unapofanya mijadala na watu achana na maneno kama haya 'mwanaume mzima' jifunze kutetea hoja zako bila excuse za kijinga kama hizo!!
Mimi sitafti excuse, hafu wewe ni mjinga kudandia usiyoyajua jiheshimu aisee. Acha kiherehere aisee
 
Baada ya ishu ya CAG nikasema niingie mitandaoni nione reaction ya wananchi juu ya serikali ya JPM.

Twitter na JF kama kawaida ni matusi tu na kejeli kwa mwendazake, ila awa ni wachache na tumeshawazoea hawanaga madhala.

Nikasema niingie kwa majority ya wananchi huko Facebook na Instagram penye watumiaji 90% wa social media wa Tanzania.

Nikakuta vilio na kukata tamaa kwa wananchi baada ya kuona kipenzi chao JPM anazushiwa uongo na mema yake yanapondwa.

Wananchi imani yao kwa Magufuli ni kubwa sana, waite wajinga awajaelimika ila kuna namna JPM aligusa maisha yao na akatengeneza connection nao. Hakuna kitu mtafanya sasa hivi kufuta hii love ya raia kwa JPM.

Nawashauri CCM na wapinzani mnaoendeleza vita na JPM wasibeze hivi vilio maana awa wananchi watawaadhibu siku moja. Kumpuuza Magufuli ni kuwapuuza majority ya watanzania 93%.

Msije sema hamkuambiwa.
View attachment 1748149View attachment 1748150View attachment 1748151View attachment 1748152View attachment 1748153View attachment 1748154
Umechagua comments ambazo umeona zinamlilia dictator ucharwa, ila ata huku fecebook kuna watu wengi tu wanacomment kutokupendezwa na mwendazake, kama unabisha tulete ushaidi
 
Kwenye mitandao mingi yenye majina feki ndo kumtukama Marehemu kupo sana ila wenye majina halisi ndo wana mlilia maana hao ndo Common mwananchi...
 
Na wewe utakuwa kichaa wa kwenda mirembe ka unasoma upumbavu wangu, hafu aibu uone ya Nini kwa maoni yangu binafsi huko ka sikuwashwa washwa Nini?
Sio kila kitakachoandikwa kitafuraisha mengine ya kupite tu ndugu.mfyuu
Sawa genius
 
So u pretend to be “smart” kwa kuandika kizungu cha Google,na unajisifia kabisa
so now the topic has shifted from discussing the lower level of understanding for people who use facebook and instagram to discussing my smartness and eloquent in english?.

NB: i'm not pretending to be smart, i'm smart.
 
Majority of them, ukitoa watu wachache ambao ni exceptional, hafu umejuaje ka na I'd ya old niliacha nikaja na hii ya 2015 na hii nikiiacha Nika create mpya haimanishi sifahamu Jambo lolote
Huna Lolote We Kenge Acha Kujimwambafai... Sura Mbaya Kama K
 
Ni kweli, tabaka kubwa la wapiga kura wa nchi hii ni huko Instagram na Facebook ambako pia ndipo linapopatikana tabaka kubwa pia la wananchi wenye upeo mdogo sana wa kufikiri.
Bado tuna safari ndefu kama nchi.
wewe pia kweny kundi la watu wenye upeo mkubwa upo kumbe?
 
Back
Top Bottom