Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Beef lasagna

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
16,962
2,000
Usituletee habari za kujifariji Moyo we mataga hii Facebook ni ya Chato?
Screenshot_20210410-100733.png
 
smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
2,270
2,000
miaka ya hivi karibuni facebook kwa hapa tz umebaki kuwa mtandao wa watu wajinga ambao ni less informed kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi yao.

kule instagram majority ni millennials, hawa interest yao ni kufatilia page za udaku na ubuyu zimepost nini kuhusu scandal/drama za mastaa wa bongofleva na bongo muvi.

kwa muktadha huo usitegemee kijana wa instagram aandike paragraph tatu au zaidi kuchambua utawala wa jiwe. wengi huishia kuweka picha tu.
 
Ungekua mtandao wa wajinga Jf wangetoa account zao zote .
 
happyxxx

Senior Member
Nov 14, 2020
170
1,000
miaka ya hivi karibuni facebook kwa hapa tz umebaki kuwa mtandao wa watu wajinga ambao ni less informed kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi yao.

kule instagram majority ni millennials, hawa interest yao ni kufatilia page za udaku na ubuyu zimepost nini kuhusu scandal/drama za mastaa wa bongofleva na bongo muvi.

kwa muktadha huo usitegemee kijana wa instagram aandike paragraph tatu au zaidi kuchambua utawala wa jiwe. wengi huishia kuweka picha tu.
Hao watu unaowaita wajinga au millenials kuumbuka ndio walio wengi wakitoa sauti nchi inatikisika. Kama JPM aliweza kujenga connection nao basi kuna sehemu alifaulu.
 
happyxxx

Senior Member
Nov 14, 2020
170
1,000
Uchaguzi upi tena Magufuli atatokea? hii ishu sio ya Upinzani vs CCM, ni watu wa vyama vyote wa,mefarijika kuondokewa na nduli mla nyama za watu. akashiriki uchaguzi wa malaika huko
Unajua kwa nini wapinzani wamejikuta wapo ccm kwa mkopo na ccm hawajui wasimame na nani? Nguvu ya Magufuli.
 
happyxxx

Senior Member
Nov 14, 2020
170
1,000
Humu kuna watu wachache sana na wengi wao wanamiliki double ID's.

Unaweza kuta li-NAPE NAUYE lina akaunti hata saba humu. Linashambulia na kujijibu.

Hawana madhara hawa. Wengine wanafuata mkumbo tu hawaelewi chochote.
Unaweza kukuta siku nzima watu 20 mpaka 30 wanazunguka thread zile zile alafu wanakwambia wananchi wamesema hivi 😂😂
 
Nyamizi

Platinum Member
Feb 19, 2009
3,038
2,000
Uchaguzi upi tena Magufuli atatokea? hii ishu sio ya Upinzani vs CCM, ni watu wa vyama vyote wa,mefarijika kuondokewa na nduli mla nyama za watu. akashiriki uchaguzi wa malaika huko

Huwa sipendi sana kujibu watu wapuuzi kama wewe. Imbecile,don’t ever quote my comment
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
18,355
2,000
Kwa hiyo users wote Istagram around the World wana akili ndogo ila wewe hapa mtumiaji wa JF tena kuanzia tu 2015 ndiyo una akili nyingi,na walioanza kutumia tangu enzi za Jambo Forum wasemeje sasa.
Majority of them, ukitoa watu wachache ambao ni exceptional, hafu umejuaje ka na I'd ya old niliacha nikaja na hii ya 2015 na hii nikiiacha Nika create mpya haimanishi sifahamu Jambo lolote
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
18,355
2,000
Kwa hiyo users wote Istagram around the World wana akili ndogo ila wewe hapa mtumiaji wa JF tena kuanzia tu 2015 ndiyo una akili nyingi,na walioanza kutumia tangu enzi za Jambo Forum wasemeje sasa.
Hafu hao wa enzi ya Jambo forum watakuwa wanatumia nikiinyojya maana ni wababu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom